Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
NtavichekiMkuu ni imara sana. Ingia youtube kaone vinavyotengenezwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NtavichekiMkuu ni imara sana. Ingia youtube kaone vinavyotengenezwa
Kurudi nyumbani sio dhambi wadogo zangu!!!!Issue mipango hata ukiwa home mipango ndio kila kituUlikosea sana kurudi nyumbani.
Mimi bado nipo chuoni Mwaka wa mwisho ila ninaishi getto, nitanunua kila kitu kadri ya uwezo, ili nikimaliza chuo nisirudi home.
Huku mkoani ni 450,000/= kwa 43 inchesHv wakuu tv za hisense nchi 40 inch na 43 inch zinasomeka bei gaNi wazee nataka nijikusanye nkachukue mwakani
Mhhh 😂😂😂😂Huku mkoani ni 450,000/= kwa 43 inches
Sio smart iyoMhhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Probably pia kama ni LED
Hiyo SIO Hisense mkuu, hizo zitakuwa ni kina Alitop,Zunne,star X,boss,soyi,itel na zingine zingine za kufanana na hizoHuku mkoani ni 450,000/= kwa 43 inches
Hiyo sio Hisense kabisa Mkuu, ata ambayo sio Smart huwezi kupata Kwa 450000 inch 43 tena mkoani, Kwa Dar penyewe ukipata ambayo sio Smart Kwa bei hiyo basi Labda ni zile wanaita za MwendoMhhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Probably pia kama ni LED
Mi mwenyewe nilienjoy Sana maisha ya saut nakumbuka Hadi hostel niliyokuwa nakaa inaitwa Paradise[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ukuta vipi? Hata pluster imeshidkan? Vipi mwenye nyumbaa n mstaafu? Hela zimekataaaa?
Afu huko uswahilini sanaaaa eeeh. Fanya ukarabati afu ndo uweke vitu vyako vya thaman, sasa hapo utadhan store vimehifadhiwa kwa dharura. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
NimeshangaaHiyo sio Hisense kabisa Mkuu, ata ambayo sio Smart huwezi kupata Kwa 450000 inch 43 tena mkoani, Kwa Dar penyewe ukipata LED Kwa bei hiyo basi ni zile wanaita za Mwendo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah[emoji23][emoji23][emoji23]Daah
Mkuu me nimetoka kununua Hisense last month tu, hiyo inch 40 yenyewe ambayo sio Smart nilikuta inacheza kwenye 480-500K Kwa wauzaji wa kawaida ila ukienda kwa Hisense dealer bei ni 600k alafu ata hawakuangalii usoniNimeshangaa
Imebidi tu nicheke
Heri hata angesema nchi 40 ndio hiyo 450
Hisense au kampuni gaNi mkuuHuku mkoani ni 450,000/= kwa 43 inches
Hisense dealer wana maringoo balaaaMkuu me nimetoka kununua Hisense last month tu, hiyo inch 40 yenyewe ambayo sio Smart nilikuta inacheza kwenye 480-500K Kwa wauzaji wa kawaida ila ukienda kwa Hisense dealer bei ni 600k alafu ata hawakuangalii usoni
Ilikuwa 12/15.Mwaka gani
Ile imechoka sana
Wewe ulikia BAED??[emoji23][emoji23][emoji23]
Wale ni shida mkuu, ila wana utaratibu mzuri sana, maana wao wanawauzia wengine kwa bei rahisi sana ila wao wanauza Kwa bei kubwa ili wateja waende huko kwenye bei ndogo wao wanabaki kama Showroom tu au kuwauzia wadosiHisense dealer wana maringoo balaaa
Kwanza hawakumbelezi
Ile kusema una sh ngapi. Nawajua [emoji23][emoji23]
Mkoa nilipo nchi 32 LED 380-420
40 sijui
43 smart 750
Me nilikuwa nataka inch 55 nikaenda kwa dealer bana, si nikakutana na bei ya 1.4M ikabidi nirudi tu kariakoo kwenye bei zetu za sogea tukae [emoji16][emoji16][emoji16]Hisense dealer wana maringoo balaaa
Kwanza hawakumbelezi
Ile kusema una sh ngapi. Nawajua [emoji23][emoji23]
Mkoa nilipo nchi 32 LED 380-420
40 sijui
43 smart 750
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me nilikuwa nataka inch 55 nikaenda kwa dealer bana, si nikakutana na bei ya 1.4M ikabidi nirudi tu kariakoo kwenye bei zetu za sogea tukae [emoji16][emoji16][emoji16]
Ehhh mwenzangu, at least kuna unafuu wa kufanya biashara na mtu ambae anaonekana kabisa kuwa anaitaka hela yako, hamuwezi kushindwana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app