Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Mhhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Probably pia kama ni LED
Hiyo sio Hisense kabisa Mkuu, ata ambayo sio Smart huwezi kupata Kwa 450000 inch 43 tena mkoani, Kwa Dar penyewe ukipata ambayo sio Smart Kwa bei hiyo basi Labda ni zile wanaita za Mwendo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ukuta vipi? Hata pluster imeshidkan? Vipi mwenye nyumbaa n mstaafu? Hela zimekataaaa?

Afu huko uswahilini sanaaaa eeeh. Fanya ukarabati afu ndo uweke vitu vyako vya thaman, sasa hapo utadhan store vimehifadhiwa kwa dharura. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Daah
 
Nimeshangaa
Imebidi tu nicheke

Heri hata angesema nchi 40 ndio hiyo 450
Mkuu me nimetoka kununua Hisense last month tu, hiyo inch 40 yenyewe ambayo sio Smart nilikuta inacheza kwenye 480-500K Kwa wauzaji wa kawaida ila ukienda kwa Hisense dealer bei ni 600k alafu ata hawakuangalii usoni
 
Mkuu me nimetoka kununua Hisense last month tu, hiyo inch 40 yenyewe ambayo sio Smart nilikuta inacheza kwenye 480-500K Kwa wauzaji wa kawaida ila ukienda kwa Hisense dealer bei ni 600k alafu ata hawakuangalii usoni
Hisense dealer wana maringoo balaaa
Kwanza hawakumbelezi
Ile kusema una sh ngapi. Nawajua 😂😂


Mkoa nilipo nchi 32 LED 380-420
40 sijui
43 smart 750
 
Hisense dealer wana maringoo balaaa
Kwanza hawakumbelezi
Ile kusema una sh ngapi. Nawajua [emoji23][emoji23]


Mkoa nilipo nchi 32 LED 380-420
40 sijui
43 smart 750
Wale ni shida mkuu, ila wana utaratibu mzuri sana, maana wao wanawauzia wengine kwa bei rahisi sana ila wao wanauza Kwa bei kubwa ili wateja waende huko kwenye bei ndogo wao wanabaki kama Showroom tu au kuwauzia wadosi
 
Hisense dealer wana maringoo balaaa
Kwanza hawakumbelezi
Ile kusema una sh ngapi. Nawajua [emoji23][emoji23]


Mkoa nilipo nchi 32 LED 380-420
40 sijui
43 smart 750
Me nilikuwa nataka inch 55 nikaenda kwa dealer bana, si nikakutana na bei ya 1.4M ikabidi nirudi tu kariakoo kwenye bei zetu za sogea tukae [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom