Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Kwanza kabisa kuna kosa ulilowafanya na wenzako bado wanafanya. Unapojidanganya kwamba utapata kazi sawa na elimu yako,ndo unaharibu. Kuna mabinti wanachoma mahindi na kuuza na wanaishi. Wa hivo,akimaliza chuo haondoki,anaendelea kupambana. Wapo wanaouza papuchi,wa hivyo unadhani atatoka jijini? Kikubwa wakati unasoma uangalie kitu gani kinachoweza kukusaidia kusukuma gurudumu la maisha kama unajua huko nyuma hakuna wa kukushika mkono. Panapo majaliwa,huenda shughuli uliyobuni ikawa bora kuliko ajira.
 
Nipo gheto now , kodi imekata , mwenye nyumba j3 anaanza kitimtim chake balaaaaaaaaa. Hela nayo imekata
 
Form Two kuchelewa kurudi home nikiwa najisomea somea na wenzangu,nikaruhusiwa na mzee kukaa gheto na wana
 
Sometimes.. movie haitizamiki, usingizi haupo… ni shwaaap nimeoga nimeenda kwenye wine. Ama shoppers/ AIM mall.. nikirudi nimechoka, nalala.
Uwe unamwita yule mzee baba wa kukushindilia maziwa japo anakuwa anazamisha mara moja moja tuuu
 
Wanangu wa gheto eeeh
KOMAAAA ila usikubali kushare kitu chochote na demu ukiwa gheto...!!!

Simama wewe kama wewe.
Nilinunua vitu kibao nikaa na demu Fulani naschool nae.

Baada ya kuzinguana anadai kila kitu chake Tena anataka Hadi kupigana

Nikaona nilifanya makosa kukaa na demu aiseeee nimeondoka nimemuachia kila kitu.

Asaivi nalala chini Sina Cha godoro Wala Nini Nina nguo tu na pumbu mbili.

So tukomae wauni mademu sio watu
hii mwenyew imenikuta, kuna manzi alinielewa akawa anatamani kuishi na mimi kila sik anapiga sim anadai kunipenda, alikua akiishi mbali kidogo na kwao adi akadanganya kapata kazi mjini akaja geto kweli alijipambania akapata kazi restaurant moja iv
me nikawa nahofia atakua mzigo kweli tuliish ishi miez kazaa kama 4, Geto nilikua na mazaga zaga kibao nipo full nikawa kama nimemchoka nikaanza kumtafutia makosa nimuache si kaniletea balaa anasema kama nataka kumuacha basi nimwachie tv na kabati langu kapigana kabisa na kunijazia inzi ad balozi wa mtaa kaja kumamae.
nimeamua tu niishi nae mana alikua kanilipia kodi miezi mitatu nyuma nahisi ndo kilicho muuma kutaka kumwacha
 
😃😃😃 Mbna uyo demu yuko vzr mpaka anakulipia kodi na anafanya kaz mbona unachezea bahati.
 
Wanangu wa gheto eeeh
KOMAAAA ila usikubali kushare kitu chochote na demu ukiwa gheto...!!!

Simama wewe kama wewe.
Nilinunua vitu kibao nikaa na demu Fulani naschool nae.

Baada ya kuzinguana anadai kila kitu chake Tena anataka Hadi kupigana

Nikaona nilifanya makosa kukaa na demu aiseeee nimeondoka nimemuachia kila kitu.

Asaivi nalala chini Sina Cha godoro Wala Nini Nina nguo tu na pumbu mbili.

So tukomae wauni mademu sio watu

Waazii afandee
 
hii mwenyew imenikuta, kuna manzi alinielewa akawa anatamani kuishi na mimi kila sik anapiga sim anadai kunipenda, alikua akiishi mbali kidogo na kwao adi akadanganya kapata kazi mjini akaja geto kweli alijipambania akapata kazi restaurant moja iv
me nikawa nahofia atakua mzigo kweli tuliish ishi miez kazaa kama 4, Geto nilikua na mazaga zaga kibao nipo full nikawa kama nimemchoka nikaanza kumtafutia makosa nimuache si kaniletea balaa anasema kama nataka kumuacha basi nimwachie tv na kabati langu kapigana kabisa na kunijazia inzi ad balozi wa mtaa kaja kumamae.
nimeamua tu niishi nae mana alikua kanilipia kodi miezi mitatu nyuma nahisi ndo kilicho muuma kutaka kumwacha
Mkuu mbna uyo wife material kabsa Fanya umuoe tu
 
Back
Top Bottom