Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Aah unajuana na seller kumbe…..mi nilitafuta sana kwa 500 nikakosa kila sehemu ni 650 wengine hadi 700 huko ikabidi tu nichukue hivo hivo i had no other option mkuu[emoji28]
Mi kila Ninacho panga kuwa nacho, lazima nitafiti kuona loop holes.

Kununua kwa watu nilisha koma, nili wahi chukua lg nchi43, isi anze kuzingua taa.
 
Back
Top Bottom