Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Tv Gani mkuu hiyo nimeielewaWazee wa mageton upishi wa kiume huo[emoji39]
View attachment 3066038
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tv Gani mkuu hiyo nimeielewaWazee wa mageton upishi wa kiume huo[emoji39]
View attachment 3066038
Oya wewe jamaa ni kama mimi tu,kuna nyakati zilifika nikawa nime-postpone masomo kutokana na kukosa ada but mwaka huu nikaamua kuendelea baada ya mambo kukaa sawaWakuu habari ni mwaka na nusu Sasa nalala chini.. sina Kitu Ndani zaidi ya PC Meza ya kusomea jiko la gasi (taifa gasi)na pazia.
Nimepitia msoto Sana Hali mpaka nilikaribia kutaka kujiua Ila nilipata counseling kubwa kutoka Kwa bro mshana jr imenifanya kuwa strong mpaka Sasa japokuwa kuna mambo makubwa amenisaidia siwezi kuweka hadharani.
Sasa katika harakati za bajaji nimefanikiwa kumaliza mkataba wa bajaj kabisa na imekuwa ya kwangu kabisa.
Nilikutana na masaibu mengi Sana mpaka nikasimamisha masomo (postpone)
Ila mwaka huu nimerudi chuo naendelea mwaka wa tatu na nimepata boom milioni moja laki moja na elfu tisini na Tano mana yameunganishwa maboom mawili.
Nimepitia msoto wanangu na supporter mkubwa ni mama yangu mzazi yeye ndio kila kitu kwenye Maisha yangu elimu nk
Sasa sitaki kukosea makosa nataka kupitia nyinyi mniweke sawa Ila nisije kujilaumu hapo baadae.
Gheto nataka kununua vitu vifuatavyo
1.Godoro QFL inch 8 240k
2.kitanda bed sofa 300k
3.feni 60k
4.mult cooker 120k Kwa ajili ya kupika maharage nyama nk Pia unaweza kupika hata ugali mana sipendi kula kabisa hotelini
5.meza ya kupika 100k
Ukipiga hesabu za haraka hapo nakuwa nimemtumia laki Saba na elfu sitini 760000/=
Kwenye 1.195m nakuwa nakuwa nimebaki na laki nne na elfu thalasini na Tano 435000/=
Hii nataka kuiweka UTT amis kama saving YANGU Tena ikiwezekana niweke hata 500k kama akiba mana Hapa dar sina ndugu na mama yeye ndio kila kitu.
Mpaka hapo mnanishauri Nini wakuu??
Nataka kumnunulia Maza smartphone hata Infinix zile macho matatu😂 Ila nataka Ela itoke kwenye Bajaj Ila Sio akiba hiyo
Sasa najiuliza atanielewa? Mana amewekeza Sana kwangu Nina appreciate Sana mchango wake.
Wakuu nimelala chini mwka na nusu nikipambania mikataba wa Bajaj now Nimemaliza nimerudi chuo na Bajaj tayari YANGU
Naombeni ushauri wenu wananangu
Mwisho kwenye harakati za utafutaji unaweza kupitia wakati mgumu mpaka ukahisi una Nuksi kumbe hakuna ni mifumo tu...
Karibuni
Oya nakubali ma menOya wewe jamaa ni kama mimi tu,kuna nyakati zilifika nikawa nime-postpone masomo kutokana na kukosa ada but mwaka huu nikaamua kuendelea baada ya mambo kukaa sawa
Maisha haya sometimes yanakuwa kama funzo ndani yetu but tunachotakiwa ni kutokukata tamaa
All the best ma nigga
Nitumie namba yako DM tuwasiliane kakaNakopa bank nimeshamaliza process zote bado kukabiziwa chombo
[emoji23][emoji23][emoji23]HUU NDIYO UZI UMENIFANYA NIFIKIRIE SANA MAISHA YANGU.NINA MPANGO WA MWEZI WA SABA KUANZA KUISHI GHETTO
MADOGO NILIOWAACHA PREFORM 1 WAKO CHUO
Nilipo mie heri nijipikie ghetto, buku nakula nashiba kabisa ila kula kwa mama ntilie ntaishia kujidhulumu nafsi na tumbo langu tu 😂Uko sahihi
Ila inategemeana na ulipo
Mfano nlipo mimi ni heri nkinunua
Anza ww kakaTupien picha
upo na kibonge chepesi kidogo paleeeeeeeeeeeeeeeee................hahaha ghetoNgojeeni nepeleke moto kwanzas 😅
Mbona ana tumbo kubwaNgojeeni nepeleke moto kwanzas 😅
Grey worm atakuambiaMbona ana tumbo kubwa
Bed ~ empires 🛏Wakuu habari ni mwaka na nusu Sasa nalala chini.. sina Kitu Ndani zaidi ya PC Meza ya kusomea jiko la gasi (taifa gasi)na pazia.
Nimepitia msoto Sana Hali mpaka nilikaribia kutaka kujiua Ila nilipata counseling kubwa kutoka Kwa bro mshana jr imenifanya kuwa strong mpaka Sasa japokuwa kuna mambo makubwa amenisaidia siwezi kuweka hadharani.
Sasa katika harakati za bajaji nimefanikiwa kumaliza mkataba wa bajaj kabisa na imekuwa ya kwangu kabisa.
Nilikutana na masaibu mengi Sana mpaka nikasimamisha masomo (postpone)
Ila mwaka huu nimerudi chuo naendelea mwaka wa tatu na nimepata boom milioni moja laki moja na elfu tisini na Tano mana yameunganishwa maboom mawili.
Nimepitia msoto wanangu na supporter mkubwa ni mama yangu mzazi yeye ndio kila kitu kwenye Maisha yangu elimu nk
Sasa sitaki kukosea makosa nataka kupitia nyinyi mniweke sawa Ila nisije kujilaumu hapo baadae.
Gheto nataka kununua vitu vifuatavyo
1.Godoro QFL inch 8 240k
2.kitanda bed sofa 300k
3.feni 60k
4.mult cooker 120k Kwa ajili ya kupika maharage nyama nk Pia unaweza kupika hata ugali mana sipendi kula kabisa hotelini
5.meza ya kupika 100k
Ukipiga hesabu za haraka hapo nakuwa nimemtumia laki Saba na elfu sitini 760000/=
Kwenye 1.195m nakuwa nakuwa nimebaki na laki nne na elfu thalasini na Tano 435000/=
Hii nataka kuiweka UTT amis kama saving YANGU Tena ikiwezekana niweke hata 500k kama akiba mana Hapa dar sina ndugu na mama yeye ndio kila kitu.
Mpaka hapo mnanishauri Nini wakuu??
Nataka kumnunulia Maza smartphone hata Infinix zile macho matatu😂 Ila nataka Ela itoke kwenye Bajaj Ila Sio akiba hiyo
Sasa najiuliza atanielewa? Mana amewekeza Sana kwangu Nina appreciate Sana mchango wake.
Wakuu nimelala chini mwka na nusu nikipambania mikataba wa Bajaj now Nimemaliza nimerudi chuo na Bajaj tayari YANGU
Naombeni ushauri wenu wananangu
Mwisho kwenye harakati za utafutaji unaweza kupitia wakati mgumu mpaka ukahisi una Nuksi kumbe hakuna ni mifumo tu...
Karibuni
Camera angleMbona ana tumbo kubwa
hili geto halizidi 30k kwa mweziNgojeeni nepeleke moto kwanzas 😅
Hama uswahilini, afu muambie mamsap wako apunguze tumbo.Ngojeeni nepeleke moto kwanzas [emoji28]