Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Wakuu habari ni mwaka na nusu Sasa nalala chini.. sina Kitu Ndani zaidi ya PC Meza ya kusomea jiko la gasi (taifa gasi)na pazia.

Nimepitia msoto Sana Hali mpaka nilikaribia kutaka kujiua Ila nilipata counseling kubwa kutoka Kwa bro mshana jr imenifanya kuwa strong mpaka Sasa japokuwa kuna mambo makubwa amenisaidia siwezi kuweka hadharani.

Sasa katika harakati za bajaji nimefanikiwa kumaliza mkataba wa bajaj kabisa na imekuwa ya kwangu kabisa.

Nilikutana na masaibu mengi Sana mpaka nikasimamisha masomo (postpone)
Ila mwaka huu nimerudi chuo naendelea mwaka wa tatu na nimepata boom milioni moja laki moja na elfu tisini na Tano mana yameunganishwa maboom mawili.

Nimepitia msoto wanangu na supporter mkubwa ni mama yangu mzazi yeye ndio kila kitu kwenye Maisha yangu elimu nk

Sasa sitaki kukosea makosa nataka kupitia nyinyi mniweke sawa Ila nisije kujilaumu hapo baadae.

Gheto nataka kununua vitu vifuatavyo
1.Godoro QFL inch 8 240k
2.kitanda bed sofa 300k
3.feni 60k
4.mult cooker 120k Kwa ajili ya kupika maharage nyama nk Pia unaweza kupika hata ugali mana sipendi kula kabisa hotelini
5.meza ya kupika 100k

Ukipiga hesabu za haraka hapo nakuwa nimemtumia laki Saba na elfu sitini 760000/=

Kwenye 1.195m nakuwa nakuwa nimebaki na laki nne na elfu thalasini na Tano 435000/=

Hii nataka kuiweka UTT amis kama saving YANGU Tena ikiwezekana niweke hata 500k kama akiba mana Hapa dar sina ndugu na mama yeye ndio kila kitu.

Mpaka hapo mnanishauri Nini wakuu??
Nataka kumnunulia Maza smartphone hata Infinix zile macho matatu😂 Ila nataka Ela itoke kwenye Bajaj Ila Sio akiba hiyo

Sasa najiuliza atanielewa? Mana amewekeza Sana kwangu Nina appreciate Sana mchango wake.

Wakuu nimelala chini mwka na nusu nikipambania mikataba wa Bajaj now Nimemaliza nimerudi chuo na Bajaj tayari YANGU

Naombeni ushauri wenu wananangu
Mwisho kwenye harakati za utafutaji unaweza kupitia wakati mgumu mpaka ukahisi una Nuksi kumbe hakuna ni mifumo tu...

Karibuni
Oya wewe jamaa ni kama mimi tu,kuna nyakati zilifika nikawa nime-postpone masomo kutokana na kukosa ada but mwaka huu nikaamua kuendelea baada ya mambo kukaa sawa

Maisha haya sometimes yanakuwa kama funzo ndani yetu but tunachotakiwa ni kutokukata tamaa

All the best ma nigga
 
Oya nakubali ma men
 
Oya nani anapangisha gheto lake wakati wa xmas na new year. Gheto liwepo maeneo ya tabata kwa wala bata
 
Uko sahihi
Ila inategemeana na ulipo
Mfano nlipo mimi ni heri nkinunua
Nilipo mie heri nijipikie ghetto, buku nakula nashiba kabisa ila kula kwa mama ntilie ntaishia kujidhulumu nafsi na tumbo langu tu 😂
 
Ngojeeni nepeleke moto kwanzas 😅
 
Attachments

  • 9AB52F9A-B738-4811-9A80-42FE76F92CF4.jpeg
    9AB52F9A-B738-4811-9A80-42FE76F92CF4.jpeg
    439.6 KB · Views: 17
Wakuu habari ni mwaka na nusu Sasa nalala chini.. sina Kitu Ndani zaidi ya PC Meza ya kusomea jiko la gasi (taifa gasi)na pazia.

Nimepitia msoto Sana Hali mpaka nilikaribia kutaka kujiua Ila nilipata counseling kubwa kutoka Kwa bro mshana jr imenifanya kuwa strong mpaka Sasa japokuwa kuna mambo makubwa amenisaidia siwezi kuweka hadharani.

Sasa katika harakati za bajaji nimefanikiwa kumaliza mkataba wa bajaj kabisa na imekuwa ya kwangu kabisa.

Nilikutana na masaibu mengi Sana mpaka nikasimamisha masomo (postpone)
Ila mwaka huu nimerudi chuo naendelea mwaka wa tatu na nimepata boom milioni moja laki moja na elfu tisini na Tano mana yameunganishwa maboom mawili.

Nimepitia msoto wanangu na supporter mkubwa ni mama yangu mzazi yeye ndio kila kitu kwenye Maisha yangu elimu nk

Sasa sitaki kukosea makosa nataka kupitia nyinyi mniweke sawa Ila nisije kujilaumu hapo baadae.

Gheto nataka kununua vitu vifuatavyo
1.Godoro QFL inch 8 240k
2.kitanda bed sofa 300k
3.feni 60k
4.mult cooker 120k Kwa ajili ya kupika maharage nyama nk Pia unaweza kupika hata ugali mana sipendi kula kabisa hotelini
5.meza ya kupika 100k

Ukipiga hesabu za haraka hapo nakuwa nimemtumia laki Saba na elfu sitini 760000/=

Kwenye 1.195m nakuwa nakuwa nimebaki na laki nne na elfu thalasini na Tano 435000/=

Hii nataka kuiweka UTT amis kama saving YANGU Tena ikiwezekana niweke hata 500k kama akiba mana Hapa dar sina ndugu na mama yeye ndio kila kitu.

Mpaka hapo mnanishauri Nini wakuu??
Nataka kumnunulia Maza smartphone hata Infinix zile macho matatu😂 Ila nataka Ela itoke kwenye Bajaj Ila Sio akiba hiyo

Sasa najiuliza atanielewa? Mana amewekeza Sana kwangu Nina appreciate Sana mchango wake.

Wakuu nimelala chini mwka na nusu nikipambania mikataba wa Bajaj now Nimemaliza nimerudi chuo na Bajaj tayari YANGU

Naombeni ushauri wenu wananangu
Mwisho kwenye harakati za utafutaji unaweza kupitia wakati mgumu mpaka ukahisi una Nuksi kumbe hakuna ni mifumo tu...

Karibuni
Bed ~ empires 🛏
Group la furniture bidhaa zote bedsofa, vitanda vya mbao showcase Nk unapata huko kwa bei chee kabisa tena free delivery.
 
Wazee wa magetoni, tupatieni connection za michongo ya kazi, na sisi tupange! Kutoka nyumbani kama hauna mchongo wa kufanya ni too risk ni kama kuvuta bangi karibu na geti la kituo cha polisi.
 
Back
Top Bottom