Ulichukua hatua gani ulipoachwa ghafla?

Ulichukua hatua gani ulipoachwa ghafla?

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
2,187
Reaction score
2,794
Mapenzi yanaumiza sana especially unapopenda pale usipopendwa.

Just imagine upo kwenye mahusiano mapenzi yamenoga ajabu simu,meseji kila dakika. Kila siku mtoto anakuja kuifinyia kwa ndani miuno kama paka shume aliyebalehe juzi mpaka unasema Mungu anipe nini mimi?

Ghafla bin vuu katika hali usiyotarajia tena ni jana tu mtoto alikupa mpaka ukasaza unakutana na txt "Kuanzia leo mimi na wewe basi mahusiano yetu yaishie hapa" unapigwa na tofali juu.

Kuna mwanangu hapa familia kabisa siku ya tatu hii kagoma kula wala kutoka nje kisa kaachwa na manzi ake.
 
Back
Top Bottom