Edwin Minja
Member
- Aug 10, 2013
- 81
- 138
uk
ukiweza usijibu hio sms, ukishindwa jibu short mfano 'Ok' .. kamwe usiulize kwa nn anakuacha, then hio hali isikuchukue, usinywe pombe kuvuta wala kutafuta mwanamke mwingine soon.. tumia huo muda kujijenga zaidi, pendeza ongeza bidii kwny kazi zako kuza kipato chako, hii ndio revenge mbaya zaidi kwa mwanamke, lakini inataka made men sio soy boys !!!Mapenzi yanaumiza sana especially unapopenda pale usipopendwa.
Just imagine upo kwenye mahusiano mapenzi yamenoga ajabu simu,meseji kila dakika. Kila siku mtoto anakuja kuifinyia kwa ndani miuno kama paka shume aliyebalehe juzi mpaka unasema Mungu anipe nini mimi?
Ghafla bin vuu katika hali usiyotarajia tena ni jana tu mtoto alikupa mpaka ukasaza unakutana na txt "Kuanzia leo mimi na wewe basi mahusiano yetu yaishie hapa" unapigwa na tofali juu.
Kuna mwanangu hapa familia kabisa siku ya tatu hii kagoma kula wala kutoka nje kisa kaachwa na manzi ake.