Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Bro niache 😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro niache 😹
Ukweli mchungu, japo umetonesha kidonda kibichi.Duuh,. Hapo huenda mwenye mpenzi wake kajua alikua anachepuka ( Na wewe ndio huyo mchepuko )
Umembananisha huko huko kwenye kona alikojificha.Huyo mwanao ndio wewe
Mapenzi yanaumiza sana especially unapopenda pale usipopendwa.
Just imagine upo kwenye mahusiano mapenzi yamenoga ajabu simu,meseji kila dakika. Kila siku mtoto anakuja kuifinyia kwa ndani miuno kama paka shume aliyebalehe juzi mpaka unasema Mungu anipe nini mimi?
Ghafla bin vuu katika hali usiyotarajia tena ni jana tu mtoto alikupa mpaka ukasaza unakutana na txt "Kuanzia leo mimi na wewe basi mahusiano yetu yaishie hapa" unapigwa na tofali juu.
Kuna mwanangu hapa familia kabisa siku ya tatu hii kagoma kula wala kutoka nje kisa kaachwa na manzi ake.
Kama hujamgonga ndo utawaza kidogo... ila niliemvua chupi ndo aniache?... ntafurahi kwakuachia gap la mdada mwingine kukaaNikiachwa na mke niliye zaa nae tena kwa ghafla hapo ndo nitakaa na kutafakali wapi nimefeli na nitamsihi aniambie nini sababu. Hii ndo najua itaniuma sana kwa muda mfupi tu ila kula nitakula kama kawaida.
Hao waliobaki hata akitoka kuifinyia kwa ndani dk3 aniambie kuanzia sasa basi wala hata sishangai wala kushituka.Mkuu wengine mshipa wa maumivu kwenye mademu wa nje ushakatika kitambo labda aniume kama siajwahi mgonga na anikatae hapo naweza umia kiaiana kama masaaa 4 hivi na kuendelea na mambo yangu
Naumia vpi na demu niliye mgonga tyr ? kwanza natabia ya kuona kinyaa baada tu ya kuzagamuaKama hujamgonga ndo utawaza kidogo... ila niliemvua chupi ndo aniache?... ntafurahi kwakuachia gap la mdada mwingine kukaa
Wengine muda ukishapita yakamuendea vibaya huko alikoenda huwa wanajirudi na kuuliza uliona sms yangu😅
Upo sahihi mkuuUsifanye uamuzi au hatua yeyote ya kimapenzi ukiwa na nye ge piga kwanza puny eto kabla kujibu hio msg hii itakusaidia kufanya uamuzi ukiwa na akili timamu
Ndio alafu anauliza mbona hukujibu 😂 kuna watu ni hovyo sana uzuri wangu huwa nawaambia kabisa kuwa haupo siriazi na maisha.Kurudi anauliza kama aliona sms yake?Hizi aibu ndogo ndogo siziwezi 🤣
Duuh hii imenikuta juzi tu hapa tarehe 2… Nmekubali KUACHWA na KUACHA."Kuanzia leo mimi na wewe basi mahusiano yetu yaishie hapa"