Ulichukua hatua gani ulipoachwa ghafla?

Nikiachwa na mke niliye zaa nae tena kwa ghafla hapo ndo nitakaa na kutafakali wapi nimefeli na nitamsihi aniambie nini sababu. Hii ndo najua itaniuma sana kwa muda mfupi tu ila kula nitakula kama kawaida.

Hao waliobaki hata akitoka kuifinyia kwa ndani dk3 aniambie kuanzia sasa basi wala hata sishangai wala kushituka.Mkuu wengine mshipa wa maumivu kwenye mademu wa nje ushakatika kitambo labda aniume kama siajwahi mgonga na anikatae hapo naweza umia kiaiana kama masaaa 4 hivi na kuendelea na mambo yangu
 
Ila wanangu ukifall ku move on ni ngumu sana, alhamdulillah nimerecover na sirudii tena kufall mazima, siku hizi nabakaza space kidogo
 

Wabahili ndo shida, upate service zote hizo wewe umeleta Nini juu ya Meza ?
 
Mwanaume umeachwa na haujui hatua ya kuchukua, na utagemea uitwe baba wa familia?!
Kuna muda naelewa kwanini wadada hawataki kudate boys, but real men.
kwa lugha rahisi wewe ni cry baby na dhaifu sana
Na wewe lima tofali then futa number, sms, na kila memory alafu ungeza juhudi za kutafuta hela
Don't chase, replace
 
Kama hujamgonga ndo utawaza kidogo... ila niliemvua chupi ndo aniache?... ntafurahi kwakuachia gap la mdada mwingine kukaa
 
"Kuanzia leo mimi na wewe basi mahusiano yetu yaishie hapa"
Duuh hii imenikuta juzi tu hapa tarehe 2… Nmekubali KUACHWA na KUACHA.

Nilijaribu kulinusuru penzi huku na huku lakn si kufanikiwa!
 

Attachments

  • 1731822144702.jpg
    462.9 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…