Ulifanya mambo gani zamani ambayo ukikumbuka unajiona mjinga?

Kujichora tattoo ya Yesu mkononi Kwa kutumia njiti ya kiberiti likatokeza donda mpaka mama kunipelekahospital
 
Kukapenda sana kale kasichana ....
ilikuwa ni ujinga wa kiwango Cha SGR
 
Kujifanyaa mgumu shuleni, nashukuru ugumu umenisaidia nipo hadi Leo natype jf hapa vicheche wengi washamaliza historia Yao Duniani kitambo
 
  • kujichora tatoo ile alokua anatumia Hitler, mkono ulivimba wiki mbili
  • kuchungulia chupi za wasichana kwa kutumia kioo ( hii ni zamani mno wacha nyie wa juzi juzi) kipigo nilipokea mbele ya darasa anajua mungu
-Kujifanya fundi deki, nikasahau mkanda wa pilau kwenye deki ya home kilichofata...😔😅
 
Hahahah
 
Zamani Coca-cola soda ilikuwa Ina GESI vibaya mno na sukari nyingi kinyama. Yaani enzi hizo ukifanya kosa Haina haja ya kupigwa, unanunuliwa coca tu. Maana walijua ukishamaliza kunywa wakati wa kubeua itakurarua vikali
Nakumbuka aisee
 
Kujichora tattoo ya Yesu mkononi Kwa kutumia njiti ya kiberiti likatokeza donda mpaka mama kunipelekahospital
Hhahaha umeanza Ulokole zamani sana ndugu yangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…