Ndondombi Mulin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 413
- 1,868
U-BIN-ADAM kazi.hivi ni kweli unamtendea mtu Mtu wema anaamua akudhalilishe, anakulipa mabaya
You are not Jesus, acha kutaka kuwa msaada kwa kila mtu hasa kwenye mambo ya MIKOPO.
Epuka kukopesha kopesha watu kama hauna njia madhubuti na uhakika za kuwadai.
Kama huwezi sana basi hakikisha wanawekeza bond ili uweze kuwapa pesa.
Yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu.
Usisaidie masikini, acha wafe
USISAIDIE MASIKINI; ACHA WAFE Na, Robert Heriel Umasikini ni laana. Huwezi kuwa masikini kama hujalaaniwa. Ukiona wewe ni masikini jua tayari unalaana, ukiona ukoo wenu ni masikini jua koo yenu mnalaana. Ukiona kabila, taifa au bara lenu ni masikini basi fahamu kuwa hiyo ni laana. Huu ni...