Ulifanya nini ulipodhulumiwa?

Ulifanya nini ulipodhulumiwa?

Mtu aliniletea ukenge, nikamfanyia uMAMBA, nikamteka, nikamuhifadhi mtaani kwangu akaomba sana msamaha, ndani ya wiki atakuwa kalipa, kweli baada ya siku 2 akalipa, wakati deni langu lilikaa miaka miwili na kitu.
Ndio maana nasema tusisingizea kila wanaotekwa ni CCM wanahusika
Mambo mengine siku hizi ni personal tu, kuna watu wanatia watu ndani mali bila uwoga wakidhani bado tuko enzi za nyerere.....siku zimebadilika sana
Kuna kijana ndugu kabisa aliwatia watu ndani halafu akanunua taxi anapiga misele mijini, wale jamaa hawakimkawiza, kijana alipotea ghafla, ila mbaya walimuua na kumtupa kwenye kisima ndio ikasanuka.....
 
The World has changed drastically !! So, trust nobody !!! This should stick well in your mind !!
 
Mtu aliniletea ukenge, nikamfanyia uMAMBA, nikamteka, nikamuhifadhi mtaani kwangu akaomba sana msamaha, ndani ya wiki atakuwa kalipa, kweli baada ya siku 2 akalipa, wakati deni langu lilikaa miaka miwili na kitu.
Ha ha ha, kumbe nyinyi ndo mnateka watu halafu mnasingizia geshi letu tukufu.
 
Mimi watu pekee ninaowakopesha wala hua siwadai. Ila najua siku nikikwama namimi naenda kukopa kwao na silipi!
 
Kuna jamaa yangu alimkopesha mshkaj mmoja 5ml alafu akazulumiwa baada ya mwaka kuisha yule tapeli alikuja tekwa akamwagiwa tindikali usoni na sehemu za siri. Mwaka juzi alikutwa kadedi kaliwa na fisi. Binadamu sisi nimakatili sana.
 
Back
Top Bottom