Ulifanya nini ulipodhulumiwa?

hivi ni kweli unamtendea mtu Mtu wema anaamua akudhalilishe, anakulipa mabaya
U-BIN-ADAM kazi.

You are not Jesus, acha kutaka kuwa msaada kwa kila mtu hasa kwenye mambo ya MIKOPO.
Epuka kukopesha kopesha watu kama hauna njia madhubuti na uhakika za kuwadai.

Kama huwezi sana basi hakikisha wanawekeza bond ili uweze kuwapa pesa.

Yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu.

 
Mimi Nilipata kazi G1 Security Mama Akanishauri Niweke Pesa Vicoba ili Niichukue Yote Mwisho wa Mwaka, Kwakuwa Nae Alikuwa Anacheza Nikaamini Nikawa naweka Mshahara wangu Wote Masikini. Wale Viongozi Pesa Wakaila, Wengine Wakakimbiaa Mama Yeye Alikopa Hivyo Walimalizana yaani Hakuwa Akivunja, Sisi Ambao Hatukukopa Tuliopaswa Kulipwa Pesa Yote Ndo Tukadhurumiwa, Niliumia Nilitamani Kujiondoa Uhai, Mpaka Nikaleta Uzi Humu,

Unajua kwanini Niliumia !? Ni kwasababu ya Tatizo Langu, Sisi wenye Usikivu Hafifu Huwa Ni Ngumu sana Kupata Kazi, Kwahyo ndo Nilikuwa Nautegemea Ule Mtaji Unitoe Kimaisha.
Ndoto yangu ya Kumiliki Duka ikaishia Hapo.

Kwasasa Nipo Nasoma Ualimu huu Mtaala Mpya Naomba Mungu Nipate Kazi.

ila kila Nikikumbuka huwa Naumia saana.
 
Niliinua macho juu nikashukuru kwwakuwa nilipata funzo kubwa juu ya kuishi na wanaojifanya wema kumbe wanafiki
 
Mimi huwa nashangaa sana walionidhulumu waliishia kwenye majanga matupu na karibu wote wameshaaga dunia. Wa mwisho alikuja kukopa dukani nguo na akagoma kabisa kunilipa. Juzi nimeambiwa jamaa yuko jela kwa makosa mengine. Kuna dogo nilimuachiaga ofisi akauza vitu hadi leo hii hajawahi kukaa kwenye ajira akatulia hata mwaka. Ana maisha magumu.
 
Pole sana
 
Dhuluma haijawahi kumuacha mtu salama
 
Pold sana jamani
 
Pale ninampomdai mtu halafu akaleta kichwa ngumiu Mimi hubadilika na kuuvaa u-pididy kisha humgeuza ninayemdai aitwe Mr Upinde.
I often do that, It's so dangerous to play with my money.
 
Ndo ukakataa kunipa 20k ya kutoa rejesho ๐Ÿ˜Ž๐Ÿค”
Hahahaha ๐Ÿคฃ hahaha ๐Ÿ˜‚ hapana mkuu niliipata dharuura nikaitumia. Nikipata nitakutumia, please kuwa na subira everything is going to be alright
 
Soma vizuri. Ni kiasi kile kile lakini watu tofauti.
bado una haki ya kudhurumiwa hadi akili zikukae sawa. hawa binadamu sasa hivi hawana wema unamkopa anageuka adui.

ukitaka ukae kwa amani hata kama una hela wewe lia shida muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ