Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiporo kikishachacha hakiliki tena! Labda kama unatafuta tumbo la kuharaNaombeni mipango mikakati ya kuendelea kula tunda kwa X girlfriend, mkiwa mmeachana kwenye ugomvi mkubwa (assume yeye ndio alio-kuacha)...
Sawa....mwambie umemuota leo...atakuuliza "umeotaje!?" Mwambie ile style uliyokuwa unaipenda wakat nimekubinua hivi....af weka emoji kama 2 tu hiv...lazima akitafutelete madini kesho ni siku ya ibada keshokutwa kazini, leo siku ya kupeana madini mkuu
Mmh ok sawalete madini mkuu, maumivu ya tumbo yatavumilika mkuu.
Naombeni mipango mikakati ya kuendelea kula tunda kwa X girlfriend, mkiwa mmeachana kwenye ugomvi mkubwa (assume yeye ndio alio-kuacha)... na hamuwasilini ila umemiss kumla mzigo
Anza na mambo? Akijibu mwambie miss u.Asipojibu kesho tena mwambie umeamkaje Salome? Taja jina siyo useme mpenz tena...onhoo hapo tunajionaga mnatuona rahisi sana.Endelea ivoivo kila siku mpaka siku utakayomwambia naomba tuonane,akikubali usianze kuombaomba tena we mkumbatie afu anza kutomasa maeneo ambayo ulishafahamu ni udhaifu wake...hapo Game is over!!!safiiiiiiiiiiiiii.....je unamuingiaje ikiwa ata kuwasiliana hamuwasiliani????
😀😀😀Mwite afu mle
Kirahisi sana eti