Lakini pia kumbuka mpenzi wako ni x wa mtu,hembu pia tafakari kama atakuwa anapigiwa hesabu hizi...ukipata jibu basi tambua kuwa kama mlisha shindwana mkaamua kuachana,songa mbele na maisha yako ujenge familia yako,ukaisaidie jamii yako,miaka inaenda haitarudi tena.
lakini pia kuna mshahara wa sex
[emoji117]Magonjwa.
[emoji117]Mikosi.
[emoji117]Mimba.
hivyo ukiwa na tamaa ya kumrudia ili tu m sex kumbuka na hayo.