Ulifanyaje ulipoachika?

Pisi sio romantic,Hana shukrani[emoji706]
Yaani hana shukrani kabisa.. wanaume kama nyinyi mmebaki wachache sana... huyo dada mbengo hazitafunguka kwa ajili yake[emoji28]... 100k yote hiyo na asante hamna anajikuta nani kwa mfano[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah kaka ila bora ulichukua kuliko aende mshikaji akipigie show juu ya shuka lako duuh[emoji1787][emoji1787]
Na umasikini unachangia 😂😂😂
 

Nikiachwa ni kama nimeacha
Na nikiacha ni kama nimeacha
 
Sikia wanawake tupo hivi, mwanaume ambaye hatumpendi huwa tubamuomba ela kila mara ili achoke ajiondoe ndo maana umeona baada ya kumnyima eka imekuwa rahisi kusema tuachane. Hapo hakuna upendo kaka unachunwa. Tafuta mtu atakayekupenda na siyo kupenda pesa zako
 
Kweli nilikua punching bag🚮
 
Ulikuwa unadate na danga na hukumla hata daaa hiyo hela ningenunua mafuta na lotion ya puchu na bado ningebaki na 90k
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…