Ulifanyaje ulipoachika?

Ulifanyaje ulipoachika?

Huyo hakupendi Santons na muache aende tu utapata chaguo lako lililo sahihi

Kupata mwanaume ambaye humuombi pesa anayejua wajibu wake kama wewe unampa tu sababu unajua ana mahitaji yake ni wachache sana
Eti jamani.
Mie ningekuwa namsugua mpaka miguu santos sitaki babe wangu ainame iname aumie..

Huyo mdada ngoja aende mtaani akutane na wakina fudenge anaenda na nauli yako anamchakataza na kurudi anarudi na nauli yake anaambiwa mamiloo subiri kwanza kuna hela naisikilizia.
 
Dah yaani hapa natoka kuachika Kwa sababu ambazo naziona sio za msingi kabisa, nimempa 100k akafanye ishu zake nyingine bila hata kuniomba.

Hata Asante hakusema, juzi ananiomba Tena shilling laki Moja ambayo Haina maelezo yoyote [emoji848]
She was like... Umm babe naomba shilingi laki Moja[emoji33][emoji33] meseji ikaishia hapo.

NAMI sikujibu chochote nione reaction Yake mpaka zilipoanza lawama kwamba nimekua bahili siku hizi[emoji51][emoji51]
Nikawambia yes mimi ni bahili so what, akadai tuachane.

NAMI nikaona poa tu maana Amna mambo apa zaidi ya kuchunwa tu[emoji51] sijataka kuhoji kuhusu ile pesa nilomtumia bila kuomba.

Nipo nipo tu kichwa kime hang[emoji56][emoji56][emoji56]

Kumbe kuachwa ndo inakua hivi[emoji33][emoji33]
Ila naona kama nimetua ka mzigo Fulani hivi, kuachana na hii Toyota brevis [emoji23] ila Kuna mda naanza kumuwazia Tena

Ebu nipeni mbinu nifanyeje ku overcome ishu kama hii
mzabzab
Mzee wa kupambania

Eti To yeye mtu anaekutumia pesa bila kuomba ni bahili[emoji848]
Shunie Antonnia Depal Chakorii ebu kuweni na huruma na pesa zetu wandugu
Upo na mtu ambaye hajitambui

Pesa ya kupewa ilivyokuwa tamu, tukipewa huwa tunatoa shukurani zoote
Na tunafanya maombi mbele za Mungu kama yote.
 
Mnatuombea na baraka
Yaani Mimi nikipewa hela hivyo aisee huwa nafurahi, napiga magoti naomba mno.

Kabla sijatumia, nachukua asilimia fulani kama sadaka, kwa wasiojiweza na wahitaji.

Kwa style hiyo Mungu anazidi tu kumfungulia Baraka mwanaume huyo.
 
Back
Top Bottom