Ulifanyaje ulipoachika?

Ulifanyaje ulipoachika?

Nina collection yangu ya nyimbo za Abiudi Misholi. Nikilimwa kibuti ndio naziskiliza, zinanijaza stress mara 100 za mambo kibao tofauti tofauti hadi nasahau stress za mwanzo.

Unabando nikurushie?😅
 
Kwenye miti siku zote hakuna wajenzi.

Kuna mfano wa yesu alipoenda nadhani alipozaliwa alikuwa amepanda farasi ,alipofika kwao akapokelewa kwa shangwe sana huku akitandikiwa khanga chini. Sasa Punda akaona na yeye siku aende huko peke yake alipigwa na bonge la suprise,hakuna aliyemshobokea hata chembe.

Wanawake wakiwa kwenye ndoa ikiwa inaenda vizuri ,watajitokeza mamarioo/masela mavi kumpeti peti na kumrubuni kwa akili ya marioo/masela mavi wanaona wakimrubuni na kumpata watapa fedha kutoka kwake na yeye mwanamke pasipo kutumia akili anaona anapendwa sana na mario/msela ,sasa kijichanganya akamuachia mashine basi hapo anakuwa ashavuruga ndoa na akishavuruga masela/mario wanamkimbia maana wanaona atakuwa mzigo.
Kabisa yaan
 
Sikuzote nasema bahati muda Mwingine uwapata wasio na haja nayo.Daaa,ni ningekutunza zaidi ya mtoto...hiyo pesa ya kupewa pasipo kuomba si angeuliza hata size ya kiatu uvaacho akusuprise laaziz.Ila ukome,mnajeuri sana wanaume😠
🤣🤣🤣🤣
Angekuwa anadanganyia danganyia na vizawad uchwara huenda angekula zaid ya hyo lakii.
 
Back
Top Bottom