Ulifanyaje ulipoachika?

Huyo hakupendi Santons na muache aende tu utapata chaguo lako lililo sahihi

Kupata mwanaume ambaye humuombi pesa anayejua wajibu wake kama wewe unampa tu sababu unajua ana mahitaji yake ni wachache sana
Eti jamani.
Mie ningekuwa namsugua mpaka miguu santos sitaki babe wangu ainame iname aumie..

Huyo mdada ngoja aende mtaani akutane na wakina fudenge anaenda na nauli yako anamchakataza na kurudi anarudi na nauli yake anaambiwa mamiloo subiri kwanza kuna hela naisikilizia.
 
Upo na mtu ambaye hajitambui

Pesa ya kupewa ilivyokuwa tamu, tukipewa huwa tunatoa shukurani zoote
Na tunafanya maombi mbele za Mungu kama yote.
 
Mnatuombea na baraka
Yaani Mimi nikipewa hela hivyo aisee huwa nafurahi, napiga magoti naomba mno.

Kabla sijatumia, nachukua asilimia fulani kama sadaka, kwa wasiojiweza na wahitaji.

Kwa style hiyo Mungu anazidi tu kumfungulia Baraka mwanaume huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…