Ulifanyaje ulipoachika?

Ulifanyaje ulipoachika?

Dah yaani hapa natoka kuachika Kwa sababu ambazo naziona sio za msingi kabisa, nimempa 100k akafanye ishu zake nyingine bila hata kuniomba
Hata Asante hakusema, juzi ananiomba Tena shilling laki Moja ambayo Haina maelezo yoyote 🤔
She was like... Umm babe naomba shilingi laki Moja😱😱 meseji ikaishia hapo.
NAMI sikujibu chochote nione reaction Yake mpaka zilipoanza lawama kwamba nimekua bahili siku hizi😬😬
Nikawambia yes mimi ni bahili so what, akadai tuachane.
NAMI nikaona poa tu maana Amna mambo apa zaidi ya kuchunwa tu😬 sijataka kuhoji kuhusu ile pesa nilomtumia bila kuomba.

Nipo nipo tu kichwa kime hang😇😇😇

Kumbe kuachwa ndo inakua hivi😱😱
Ila naona kama nimetua ka mzigo Fulani hivi, kuachana na hii Toyota brevis 😂 ila Kuna mda naanza kumuwazia Tena

Ebu nipeni mbinu nifanyeje ku overcome ishu kama hii
mzabzab
Mzee wa kupambania

Eti To yeye mtu anaekutumia pesa bila kuomba ni bahili🤔
Shunie Antonnia Depal Chakorii ebu kuweni na huruma na pesa zetu wandugu
Duuh pole sana huyo bwege ana options nyingi sana achana nae
 
Back
Top Bottom