Ulifanywa nini ulipokamatwa unajenga bila kibali cha ujenzi?

Nilikuwa nimekata vibali pamoja na malipo kamili.
Ukapita muda kama miezi 4 bila kuanza ujenzi kwa sababu nilisafiri, niliporejea nikaanza ujenzi. Wakaja jamaa kutoka manispaa kuniuliza vibali vya ujenzi. Utata ukaanziq hapo kwa sababu hawakupita kwenye Serikali ya mtaa na Wala hawakuja na kiongozi yeyote.
Nikaenda kufungua mbwa (mbwa nilimuita POGBA). Uzuri yule Dog alikuwa kapewa mafunzo. Nikaawaambia waondoke kabla sijatoa AMRI nyingine kwa Bwana Pogba. Sijui alijichanganya vipi yule jamaa akaokota jiwe na kupiga yule mbwa, aiseee dakika sumni alikuwa bila suruali na mikwaruzo.

Nikachezq na mtendaji kiutu uzima ikaonekqna wale jamaa wa manispaa wamekuja kufanya vurugu na nikaombwa msamaha
 
😄 pogba kafanya yake
 
Ha ha ha.nimecheka
 
Vibali vipo vya aina mbili:-

1.Kwa viwanja vilivyopimwa.
->Kwa Vilivyopimwa sheria zipo straight ,ukijenga bila vibali wakaguzi kutoka manispaa wanakuja kufanya evaluation ya ilo jengo then wanakulamba fine ya 2% ,lets say wakaja kupima wakaona mpaka ulipofikia umetumia kama 20m then wanakupiga fine ya 2% ya 20m ambayo ni laki 4 ,then unalipiga gharama za vibali ambayo roughly nyumba ya kawaida haizidi 250k na pia lazima upeleka ramani(gharama za ramani inategemea na mchoraji mwenyewe ,hapo itavary)

2.Visivyopimwa(Skwata).
->Kwa Skwata aongea na mtendaji/mwenyekiti wa mtaa mpe "Thalatha"(30K) then akupe kibali cha mchongo uendelee na ujenzi tu.
 
Kibali cha ujenzi kina faida gani kwa taifa la Tanzania?

Tuna copy na kupaste vitu hata havina maana na havitusaidii kama Taifa.

Zaidi ni kuumizana na kukomoana tu.

Kibali hakijengi nyumba, kibali hakifanyi nyumba iwe imara, sasa nini maana na faida ya hiki kibali?
 
Kina maana sana mkuu kwasababu ipo kwenye sheria za nchi siyo watu wamejitungia tu.

Tatizo wengi tunabeza sana mambo ya ujenzi.
 
Sina kibali na hata majiran zangu wote hawana..hahahaha raha ya kuishi LINDI MUNICIPAL HIO
Siyo jambo la kucheka mkuu. Kwani mmevunja sheria. Wewe na jirani zako mara moja nendeni halmashauri mpewe vibali.
 
Lete vihoja nini kilitokea ulipokamatwa na wakaguzi wa vibali vya ujenzi
Kuna katabia kamoja kapo kwenye hizi idara yani wanaona unachimba msingi ,unapandisha tofari ukishafika level ambayo wataweza kuandika maneno yao “BOMOA”
 
Kina maana sana mkuu kwasababu ipo kwenye sheria za nchi siyo watu wamejitungia tu.

Tatizo wengi tunabeza sana mambo ya ujenzi.
Maana yake nini hasa ndio lilikuwa swali langu, na vinasaidia nini kwenye ujenzi nchi kama yetu hii.

Sijabeza ujenzi popote, ila nataka kujifunza umuhimu wa hiki kibali kwenye ujenzi nchi kama hii Tanzania.
 
Nilikuwa nimekata vibali pamoja na malipo kamili.
Ukapita muda kama miezi 4 bila kuanza ujenzi kwa sababu nilisafiri, niliporejea nikaanza ujenzi. Wakaja jamaa kutoka manispaa kuniuliza vibali vya ujenzi. Utata ukaanziq hapo kwa sababu hawakupita kwenye Serikali ya mtaa na Wala hawakuja na kiongozi yeyote.
Nikaenda kufungua mbwa (mbwa nilimuita POGBA). Uzuri yule Dog alikuwa kapewa mafunzo. Nikaawaambia waondoke kabla sijatoa AMRI nyingine kwa Bwana Pogba. Sijui alijichanganya vipi yule jamaa akaokota jiwe na kupiga yule mbwa, aiseee dakika sumni alikuwa bila suruali na mikwaruzo.

Nikachezq na mtendaji kiutu uzima ikaonekqna wale jamaa wa manispaa wamekuja kufanya vurugu na nikaombwa msamaha
Kwa hiyo mbwa pogba nae unamlisha madawa ya kuongeza ukali 🤣🤣🤣🤣
 
Alipita mtu mmoja kwa cheo cha mjumbe, kudai kibali cHa ujenzi.
Eneo lile kuna nyumba nne zilikuwa zikijengwa.
Nikaomba kuona nakala za vibali vya ujenzi vya wengine kutoka kwake.
Kimya!
Usipokuwa imara watakusumbua
 
Nilikuwa nimekata vibali pamoja na malipo kamili.
Ukapita muda kama miezi 4 bila kuanza ujenzi kwa sababu nilisafiri, niliporejea nikaanza ujenzi. Wakaja jamaa kutoka manispaa kuniuliza vibali vya ujenzi. Utata ukaanziq hapo kwa sababu hawakupita kwenye Serikali ya mtaa na Wala hawakuja na kiongozi yeyote.
Nikaenda kufungua mbwa (mbwa nilimuita POGBA). Uzuri yule Dog alikuwa kapewa mafunzo. Nikaawaambia waondoke kabla sijatoa AMRI nyingine kwa Bwana Pogba. Sijui alijichanganya vipi yule jamaa akaokota jiwe na kupiga yule mbwa, aiseee dakika sumni alikuwa bila suruali na mikwaruzo.

Nikachezq na mtendaji kiutu uzima ikaonekqna wale jamaa wa manispaa wamekuja kufanya vurugu na nikaombwa msamaha
Paul Pogba atengwe, ana balaa zito.
 
Back
Top Bottom