Ulifanywa nini ulipokamatwa unajenga bila kibali cha ujenzi?

Ulifanywa nini ulipokamatwa unajenga bila kibali cha ujenzi?

Kibali cha ujenzi kina faida gani kwa taifa la Tanzania?

Tuna copy na kupaste vitu hata havina maana na havitusaidii kama Taifa.

Zaidi ni kuumizana na kukomoana tu.

Kibali hakijengi nyumba, kibali hakifanyi nyumba iwe imara, sasa nini maana na faida ya hiki kibali?
Unamaanisha nini?
Fikiria tena
 
Unamaanisha nini?
Fikiria tena
Kibali kina umuhimu gani zaidi ya kukusanya mapato? Nyumba zetu hazina mpangilio, hazijengwi na ingeneers/professional buliders, hazina mpangilio, hazikaguliwi kama zinajengwa kufuata taratibu za ujenzi, sasa kibali cha nini? au maana yake nini?
 
Walizuia jengo lisiendelee hadi nikakate kibali, nilivyoenda kukata kibali wakanilazimisha ninunue na Ramani ya jengo ileile nyumba yangu niliyoijenga wakaichora ramani na kuniuzia kwa 250K ukijimlisha na 50k ya kibali wakala 300k
 
Kibali cha ujenzi kina faida gani kwa taifa la Tanzania?

Tuna copy na kupaste vitu hata havina maana na havitusaidii kama Taifa.

Zaidi ni kuumizana na kukomoana tu.

Kibali hakijengi nyumba, kibali hakifanyi nyumba iwe imara, sasa nini maana na faida ya hiki kibali?
Na bado kariakoo majengo yanaporomoka kila wakati.
It is meaningless and nonsense.
Hizo sheria zingine zinatengeneza mianya tu ili watu wapige hela za rushwa.
 
Back
Top Bottom