Kibali cha ujenzi kina faida gani kwa taifa la Tanzania?
Tuna copy na kupaste vitu hata havina maana na havitusaidii kama Taifa.
Zaidi ni kuumizana na kukomoana tu.
Kibali hakijengi nyumba, kibali hakifanyi nyumba iwe imara, sasa nini maana na faida ya hiki kibali?