Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
3,395
Reaction score
1,112
Wakuu,kwanza nikiri wazi kwamba JF siyo tu mtandao wa kupashana habari na kuongeza uwezo wa kujenga hoja kinzani lakini pia,ni moja kati ya sehemu inayonipa raha hata ninapokuwa na stress kutokana na shughuli za kila siku. Leo napenda tuchangie mada hii iliyonifanya nicheke baada ya kutathmini baadhi ya majina ambayo watu wanayatumia hapa JF mfano Mbogo,Popobawa,Gandagumu,Mtimkavu,Mcameroon,kitimoto n.k Binafsi nilipojibatiza jina la Gandagumu ilikuwa ni kuendeleza kumbukumbu ya itikadi ya U-hardcore niliyokuwa nayo sekondari miaka mingi iliyopita.Niliamini katika kujikaza na kupambana kuyafanya yale ambayo wengi wanashindwa kuanzia lifestyles,mtazamo,maamuzi,mahusiano na weledi...! |Je,wewe ulifikiria nini ulipojibatiza jina unalolitumia hapa JF?
 
Kwngu naamin mm nko so stable kwnye nnachokijua na kukiamin. Pia nko stable sana kwnye maamuz yang yan no body can change me nnapoamua ki2; negro inarepresent race yang (black person) so stable-negro n brand inayorepresent ma true attitude
 
sijui nini said:
Hahahaha...huwa napata shida kupata mantiki ya jina kama hili,(sijui nini) Endapo utaongeza alama ya Mshangao-sijui nini! Itamaanisha kushangaa kitu ambacho ulidhani unakijua kumbe hukijui,ukiongeza alama ya kiulizo-sijui nini? Itasimama katika kujibu hoja ya mtu aliyekuhisi hujui kitu fulani...majina yanayotumika JF huongeza hamasa ya kufikiri endapo utachunguza kiundani!
 
jogoolakigoma. said:
Mkuu kwani hili neno lina maana gani 'tutigite'...na kwanini wewe hutigiti Jogoo la kigoma!
 
jogoolakigoma. said:
Mkuu kwani hili neno lina maana gani 'tutigite'...na kwanini wewe hutigiti Jogoo la kigoma?
 
Sure kina Aspirin, kongosho, Lara1,mtambuzi,Father of all,Fazaa,erickb52,The Boss,Kimox,Cacico, Black Cat,nk nk,hawa wote majina yao yana maana gani?
 
Langu ni kutokana na attitude za wa2 bt kwangu cna uhakika sana bac wakanipa hyo nickname nami nikaipokea km ilivyo.
 
[QUOTE=Ciello;...umenikumbusha mbali sana "It Might Be You" hakika ilitengenezwa na ikatengenezeka!
 
Mi la kwangu ni jina la utani la enzi za ujana wangu. Nilikuwa najua kuimbisha vibaya. Kila kishtobe niliemtokea ilikuwa ngumu kuchomoa. Jamaa zangu wakanipachika jina DAWA YA SIKIO.
 
Mimi nilimkumbuka msela wangu aliyenipa hilli nickname nikaona niendelee kumkumbuka kwa style hii.
 
Back
Top Bottom