Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
jogoolakigoma. said:Mkuu kwani hili neno lina maana gani 'tutigite'...na kwanini wewe hutigiti Jogoo la kigoma?
Tutigite-tucheze
Wi shavu ameneke-mwenye hasira apasuke.
Mr Q ki msingi, nimeathiriwa na hizi stori za kijasusi. Ambapo watu hujipachika majina kama Mr x, na mengineyo.(ikiwa ni harakati za kuficha majina yao halisi)
Sikuwa na sababu zaidi ktk uchaguzi wa username zaidi ya kuchukuwa jina mojawapo ya wahusika ktk stori hizo.