Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

me jamani naishi maisha ya mtanzania wa kawaida,matatizo tele na tele yanayowakabili watanzania nami yananigusa...Ninatanzanika haswaaa!
 
Nilijiona NI Litoto Fulani la Muhaya ambalo halikwami na limejaliwa upstairs hivyo lita fit JF.
 
Wengine tuna tumia majina halisi.
 
Wewe Ruttashobolwa na Kyanakyomuhaya ni ndugu (tribal lines)? Harafu mhe.Ruttashobolwa maana ya hili jina ni nini?
 
Hili ni jina la tarafa nitokaya nliamua kuenzi eneo langu nlilotoka
 
Pomboo,(dolphin).wana IQ kubwa sana kwa wanyama,tabia zao zinastaajabisha. im picses, I like water!
 
Pomboo said:
Huyu mnyama (dolphin) amewahi kujadiliwa hapa JF kwamba anapenda sana tendo la ndoa akilifanya kuwa starehe kama binadamu,vipi unakubaliana na hili? Nimefurahi kujua Dolphin anaitwa Pomboo kwa kiswahili.
 
i have same character like obama
professional(but i m not politician)
family size
tribe both(luo)
wives names
 
Langu ni kutokana na attitude za wa2 bt kwangu cna uhakika sana bac wakanipa hyo nickname nami nikaipokea km ilivyo.

Neno pretty maana yk ni 'zuri'(muonekano/sura) ni kisifa hasa -a kike. Mf. Pretty girl. Je ww ni mzuri kisura/kimwonekano au ndio walewale? Attach photo yk hapo tujue kama "pretty" linakufaa
 
@ Meruone >>> Mkuu nawe vipi ni mzawa wa meru au? Ama unawaongoza watalii mount meru?
 
Mi hili ni jina langu la utoto na limeungwa na tafsiri yake ya kiingereza ambayo nikiunganisha herufi za kwanza za majina yangu linatokea neno Rack as my nick name tangu o level 2 a level
 
Mkuu wangu mi nimezaliwa kwa ajili ya kuwapunguzia watu (hasa wanawake) maumivu hasa ya kichwa yanayosababishwa na mastress makazini na majumbani.

Wakisoma posts zangu na kunigongea like, maumivu yanapungua taratiibu!

Ningongee like kama huamini. Uzuri wa tiba yangu haina side effect na inaambatana na ukaguzi kwa mabinti...

hehheheeee a.k.a dawa ya maumivu ya kichwa au kiondoleo cha maumivu.
 
Kwngu naamin mm nko so stable kwnye nnachokijua na kukiamin. Pia nko stable sana kwnye maamuz yang yan no body can change me nnapoamua ki2; negro inarepresent race yang (black person) so stable-negro n brand inayorepresent ma true attitude
wewe ni kauzu zaidi ya dagaa
 
Rack Fikiri said:
Afadhari umenifafanulia maana ningekufananisha na yule Fikiri wa kwenye kitabu wa darasa la tano,alikuwa mvivu sana ila mwenzio Sadiki alikuwa mchapakazi.Sijui kama unaikumbuka hadithi hii.
 
wakuu,kwanza nikiri wazi kwamba jf siyo tu mtandao wa kupashana habari na kuongeza uwezo wa kujenga hoja kinzani lakini pia,ni moja kati ya sehemu inayonipa raha hata ninapokuwa na stress kutokana na shughuli za kila siku. Leo napenda tuchangie mada hii iliyonifanya nicheke baada ya kutathmini baadhi ya majina ambayo watu wanayatumia hapa jf mfano mbogo,popobawa,gandagumu,mtimkavu,mcameroon,kitimoto n.k binafsi nilipojibatiza jina la gandagumu ilikuwa ni kuendeleza kumbukumbu ya itikadi ya u-hardcore niliyokuwa nayo sekondari miaka mingi iliyopita.niliamini katika kujikaza na kupambana kuyafanya yale ambayo wengi wanashindwa kuanzia lifestyles,mtazamo,maamuzi,mahusiano na weledi...! |je,wewe ulifikiria nini ulipojibatiza jina unalolitumia hapa jf?


kwa wale wanaofuatia mieleka wanafaham vizuri the big show
i am a big fan,,thats all..
 
sausage coz huwa nafananisha na ule Mguu wa,tatu a.k.a MKIA wa mbele
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom