Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

Mimi jina hili ni lugha ya kwetu mahenge ikiwa ina maana ya najaribu hili nina alitumia baba yangu mdogo alipo anziasha biashara yake ya kukodisha baiskeli na baiskeli hizo aliziandika jina hilo.
 
Mmmh,.............. umenikumbusha 'it might be you '
 
Cielo umenikumbusha mbali sana, kiukweli dada anaweza sana.It might be u, maging sino ka man, only u, morning awaits nk.
 
Sababu ya kuzamia kwangu kwani nimeanza kujitegemea tangu nikiwa namyaka 15 kwanza kidogo tu nimalize nchi nzima nakila napokwenda hua sifikii kwa ndugu nilikua nalala popote lizamapo jua.na lengolangu lilikua nikuzamia na mpaka sasa nataka nizamie nikimbie nch hii yawaoga na wajinga wazembe wavivu.historia yangu ya life ndio iliyopelekea niitwe hivyo mimi ni wanch kavu kabisa sio wale wa baharin.siunajua watu kama sisi tunaweza kuondoka miaka zaid ya 3 kwaajil ya kupigana na maisha then tunarud kwenye familia nahata tukikuta watoto wameongezeka hua hatujali kabisa.sifa zao hua ninyingi mno.kama kutokuona umuhimu wa kuoga wala kula nk.sababu ya ukomboz
 
Matika ni mmoja wa characters kwenye kitabu cha "Shida" by Ndyanao Balisidya. main character being Chonya wa Chilonwa, hii riwaya imenikaa kichwani miaka nenda miaka rudi....
...and I am also being patriotic with my lovely city of Dodoma (jamani Dodomaaa, dodoma fahari yetu) - huniambii kitu kuhusu Dodoma, nyie wa Dar nawaachia Dar yenu :smiling:
 
WAHEED SUDAY said:
...Unaweza kutuambia maana ya hilo jina lako na hata kutujuza pengine kama wazazi waliwahi kukusimulia waliwaza nini kukubatiza jina hilo kiasi cha kukufanya usishawishike kutumia a.k.a kama username
 
Ngandema Bwila said:
Sidanganyiki!...nimekuelewa sana mkuu,kuna rafiki yangu anaitwa Jounemahala (naitwa akili) bila shaka utakuwa na asili ya jijini Mbeya!
 
Mi napenda chakula kitamu aijalishi cha asili au ughaibuni
 
Back
Top Bottom