NJELA HELA
Member
- Oct 19, 2012
- 10
- 2
Nakashina za pamusi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cielo umenikumbusha mbali sana, kiukweli dada anaweza sana.It might be u, maging sino ka man, only u, morning awaits nk.
karembo said:...Anakuita karembo kwani wewe ni mwembamba (kadogo dogo)?
Yap....nina kamwili kadogo dogo afu mwembamba imagine hapa ofisini ndo nna mwili mdogo kuliko wote.
sijui nini nilifikiria..
Mimi ni huu mzigo wangu tu!
tunaweza kuukagua? maana unaweza kudhani ni mkubwa kumbe ni ki-mbilimbi!