Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

Katika kutafakari nimegundua kila ID inayotumika hapa jamii fulani ina maana fulani ambayo mtumiaji ameilenga au inawakilisha kitu fulani. Kwa mfano ID yangu ni MTINI huu ni mti ambao umetumika sana katika biblia na kwa lugha ya rohoni inaonyesha majira ambayo mwanadamu anapaswa kuwa makini sana kufuatilia.

Naamini kila mmoja akitupa maana ya ID yake kuna kitu cha kujenga tunaweza kukipata
 
Ili
 
Uliza bei...kirefu uliza bei usiogope ukubwa wa samaki....maana halisi ni kuwa katika maisha pambana wala usikate tamaa mambo yanapokuwa magumu
 
Katika kutafakari nimegundua kila ID inayotumika hapa jamii fulani ina maana fulani ambayo mtumiaji ameilenga au inawakilisha kitu fulani. Kwa mfano ID yangu ni MTINI huu ni mti ambao umetumika sana katika biblia na kwa lugha ya rohoni inaonyesha majira ambayo mwanadamu anapaswa kuwa makini sana kufuatilia.

Naamini kila mmoja akitupa maana ya ID yake kuna kitu cha kujenga tunaweza kukipata
Kipi,kama sio umbea na kutaka kujua siri za watu.
 
Back
Top Bottom