Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

haya ni majina ya ukweli ya kwangu but kwenye makaratasi ya serikali natambulika kama IDDY MHANDO....so kilichobadilika ni hiyo I kuwa E...INFACT maana ya EDDY ni maji yanayopanda mlima
 
mie maanake nikitupia maneno kwa mdada hawez kukataaa ...thus why wasumu ...
Hahahaaaaa asee we bayamaa uko nalanganisha batu humu, kwan we uko nan mpaka mafie boote basikatae au uko mloz!!
 
Ili ni jina la samaki mwenye sifa flani ivi ambaye bibi yangu alimpenda sana.Am out
 
Back
Top Bottom