realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,982
Kiongozi,ID zingine zina maana ya kichawi na kiganga,usitake kuwehuka mkuudu ndio maana ya ID yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi,ID zingine zina maana ya kichawi na kiganga,usitake kuwehuka mkuudu ndio maana ya ID yako?
Yangu ni jina la babu mzaa babu mzaa baba lmeunganishwa na la mjukuu wangu wa pili
Mi sikujiita Jane mwenyewe. Nilipewa jina na wazazi. Sasa hapo anataka nimjibu nini kwenye uzi wake?anapanua utashi tuu. Nafikiri siyo vibaya jane
Mi sikujiita Jane mwenyewe. Nilipewa jina na wazazi. Sasa hapo anataka nimjibu nini kwenye uzi wake?
HalisiYes jane, ID inaweza kuwa jina lko halisi au ya kubumba. Just he wanted to learn maybe
Hahahaaaaa asee we bayamaa uko nalanganisha batu humu, kwan we uko nan mpaka mafie boote basikatae au uko mloz!!mie maanake nikitupia maneno kwa mdada hawez kukataaa ...thus why wasumu ...
Sielewi kwanini umekomenti sehemu ambayo HuelewiSielewi mleta mada anataka nini
Kwan we unataka umjib nn kwny uzi wake? kama ukiona huna jib kaulze wazaz(wakwe) walokupa jinaMi sikujiita Jane mwenyewe. Nilipewa jina na wazazi. Sasa hapo anataka nimjibu nini kwenye uzi wake?
Yes, alianzisha sizzya007 na nilipenda wadau walivyotiririka.Hii mada ishawahi tolewa
Hahaa hilo jina lako nadhan linamisheni za ki siasa.Wilaya yangu ya asilia