king herode
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 368
- 571
Kuna siku nilimpa nyau wangu valuu 6, alilewa sana na akawa bwii, ndo ikabidi nianze kuitumia hiyo ya Nyaubwii
Sio kosa lako.Acha uwongo...kwani msichana mbaya yupoje?
Naomba elimu mkuuSio kosa lako.
Best friend. Missing youNaomba elimu mkuu
I too....mambo vipi?Best friend. Missing you
Kwa sababu Ninayapenda magari luxury na ya kifahari sana yanayotengenezwa huko Modena Italy,yanaitwa MASERATI.
Ndio maana jina lako lipo kiitaliano!!Kwa sababu Ninayapenda magari luxury na ya kifahari sana yanayotengenezwa huko Modena Italy,yanaitwa MASERATI.
Hahaha,aina gani ; GranCabrio,Ghibli,Levante,Quattroporte au GranturismoKwa sababu Ninayapenda magari luxury na ya kifahari sana yanayotengenezwa huko Modena Italy,yanaitwa MASERATI.
Ha ha ha ha Ndio best friend..Ndio maana jina lako lipo kiitaliano!!
Weuweeee. Wacha kabisa Hizo ndoto za mchana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ntakunulia moja mama,...
Poa,mzima wewe? Umepotelea wapi?I too....mambo vipi?
Mbona sikuelewi!!?Hahaha,aina gani ; GranCabrio,Ghibli,Levante,Quattroporte au Granturismo
Good Neighbour
Weuweeee. Wacha kabisa Hizo ndoto za mchana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaniangusha maserati.hizo ni aina za maserati cars.i mean versions tofauti mamaMbona sikuelewi!!?
Nipo bana tunapishana tuuPoa,mzima wewe? Umepotelea wapi?