Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

Joseph Zefania (josze)

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Mh Natoa ni jina amabalo nilijukuta nalkumbuka hii na baada ya mdogo wanag kuugua minyoo nilipo enda pharmacy nilimkuta dada mmjoa hv ampenda matan nilivyo muuelezea tatzoz la mdog wang kanamba hv "kuna dawa hapa mheshimiwa Natoa"nikamuliz nan amekwambia mm naitwa mheshiwa Natoa akacheka akanambia namaanisha hv kuna dawa inaitwa mebendazole syrup alivyo ileta kwa juu nikaona ina maandish makubwa meus yameandikwa Natoa

So mh represent mheshimiwa and Natoa ndo hile dwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom