MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
du ndio maana ya ID yako?Kipi,kama sio umbea na kutaka kujua siri za watu.
Naona unatuhimiza kukwepa KODIIna maana hufahamu maana ya id yangu?, kawaulize takukuru
Bridalmask= Ni actor wa movie ya Kikorea ambapo Sterling anipinga dhuluma ya serikali dhalimu na kutetea wananchi wanyonge wanao onewa,kunyanyaswa,kuuwawa na kunyima haki zao.Katika kutafakari nimegundua kila ID inayotumika hapa jamii fulani ina maana fulani ambayo mtumiaji ameilenga au inawakilisha kitu fulani. Kwa mfano ID yangu ni MTINI huu ni mti ambao umetumika sana katika biblia na kwa lugha ya rohoni inaonyesha majira ambayo mwanadamu anapaswa kuwa makini sana kufuatilia.
Naamini kila mmoja akitupa maana ya ID yake kuna kitu cha kujenga tunaweza kukipata
Hii mada ishawahi tolewa
Bridalmask= Ni actor wa movie ya Kikorea ambapo Sterling anipinga dhuluma ya serikali dhalimu na kutetea wananchi wanyonge wanao onewa,kunyanyaswa,kuuwawa na kunyima haki zao.
Hivyo Actor anapambana kwa nguvu zote dhidi ya serikali dhalimu kuwatetea wananchi wake na hatimaye mwishowe kushinda.
Jina la kijiji changu nilipozaliwa na niliposoma msingi
Zugimlole= njooni muone
Penda sana kijiji changu
Kipi,kama sio umbea na kutaka kujua siri za watu.
Hii ni featuring....[emoji3]Hii mada ishawahi tolewa
[emoji3] [emoji12] [emoji13] [emoji14]Wewe utakuwa unaona mawenge wewe!
Haha hahaIna maana hufahamu maana ya id yangu?, kawaulize takukuru
Ahsante sana Mkuu hapa ndipo nilipokuwa ninapopataka, kiukweli binafsi kila siku na wakati ninapo mkumbuka Allah huwa nina sali na kutoa mchango wangu wa kimawazo n.k ikihitajika kuiondoa CCM madarakani iliyoshindwa kutuletea maendeleo zaidi ya miaka 55 ya uhuru hata kula tu kuna tushinda wenzetu wamepiga hatua ktk sekta zote na kila nyannja KIUCHUMI,KIJAMII,KISIASA,KIUTAMADUNI N.K.sisi bado tunatambaa.Wewe umepinga dhuluma gani?