Ulifikiria nini kutumia Avatar unayoitumia sasa?

Tuanze na mimi. Huwa napenda avatar za kulialia kama hiyo mnayoiona hapo. Sababu kuu ni kwa sababu huwa ninateswa sana na mapenzi, hali hii unipelekea kuwachukia sana hasahasa wale wanawake wanaopiga vizinga

N.B: Tutafute hela, pombe za 1700 ndizo ututufanya tuone wanawake wa bar kuwa wanajiuza

Nitachange avatar kwa sana, lakini mwisho wa siku nitaangukia kwenye avatar ya kulia lia
 
Screenshot_20231015-192906.jpg
 
Huyu jamaa kwenye avatar yangu ni muigizaji/mchekeshaji/muimbaji maarufu huko marekani anaitwa Donald Glover AKA Childish Gambino.... napenda sana muziki wake

Na kuna muda nilikua napenda mitindo yake ya nywele na uvaaji wake😂
dp.jpg
 
Tuanze na mimi. Huwa napenda avatar za kulialia kama hiyo mnayoiona hapo. Sababu kuu ni kwa sababu huwa ninateswa sana na mapenzi, hali hii unipelekea kuwachukia sana hasahasa wale wanawake wanaopiga vizinga

N.B: Tutafute hela, pombe za 1700 ndizo ututufanya tuone wanawake wa bar kuwa wanajiuza

Nitachange avatar kwa sana, lakini mwisho wa siku nitaangukia kwenye avatar ya kulia lia
Pole sana na mapenzi mkuu
 
Back
Top Bottom