20,000*365 ni kama 7,300,000Jiunge kikoba au Sacco's pia michezo ya Kila siku
Nipo kwenye mchezo naweka 20,500 Kila siku sometimes nacheza majina hata 3
Siku nikipokea hela napeleka kikoba
Tumevunja juzi piga hesabu
Mwaka huu mwendo ni ule ule namuomba Mungu sana ila najua inawezekana tu kwake in five years to come niwe na m 50 hivi
Sio mbaya eti hata kuwanja napata eti20,000*365 ni kama 7,300,000
Vipi mali za wizi , hukukutana nazo? Manake vyombo vya moto navyo majangaAim ilikua 1 kufikisha target,mimi ni mtu dhaifu sana wakuangalia hela tu ipo mbele yangu....
hivyo naibadilisha hela navitu vyenye thamani ya pesa yangu,nilianza kwa kununua pikipiki....
nainunua leo kesho natangaza naiuza kwa bei ya juu,nikiiuza nanunua kitu kingine,kesho kutwa....
natangaza nakiuza kwa bei ya juu,mwendo ni huo huo,na kodisha frem 300k namimi naikodsha kwa 400k...
maisha yalikua namna hiyo kimasihara kama asemavyo rikiboy ten Em hii hapa na zaidi,life goes on...
Ndiyo hivyo. Shida kubwa watu wengi wakienda shule kidogo anaona biashara za mtaani ni kama kushika uchafu. Kuna kijana mmoja mwalimu s/msingi wa kichaga alipanga chumba kwetu akaona fursa akafungua genge la mbogamboga hapo nje kalitengeneza kwa mabanzi tu ya kawaida. Saizi anauza laki 8 kwa siku. Tunataka kuanza kumtoza kodi lakini tunajishtukia kwa aibu, coz ni kasehemu ambacho wala hatukujua kuwa ni potential. Sasa mwambie graduate wa Mzumbe au Udsm afungue genge.Aisee!
I like that!!Nilifungua account maalum ya savings ambayo sitoi
Nikaweka standing order ya kukata kiasi fulani kila mwezi kwny akaunti ya kawaida
Nikawa naishi kwa bajeti na napeleka any extra cash huko
Haikuchukua muda lengo lilifikiwa
Na bonus ishakua tabia...kuweka akiba
Needs vs wants. Ukifanya tathmini hio 3m au 4m uliyofikisha kutunza halafu ukatumia, utaona kwamba wala matumizi yake leo hii hayaonekani. Watu kinachowamaliza ni matumizi. Nilitoka Tz maskini hata buku ikawa inanipiga chenga, nikaenda USA nikaanza shika usd 5000 kwa mwezi... ambayo kwa exchange rate ya sasa hio ni zaidi ya tshs 10m. Nikawa nanunua suti za $1000 (Sean John), viatu ni jordans, nike, etc. Bling bling kibao. Magari nikawa nabadilisha kila mwaka (USA gari unalipia kwa mwezi kwa hio ni kama mkopo tu). Matanuzi kibao. USD5000 ikawa hata haitoshi kwa matumizi yangu kwa mwezi.Habari jf
Katka kupambana na maisha kuna malengo tunajiwekea Shida n changamoto ya kuyafikia. Mwanzo mwa mwaka 2016 nilijiwekea target kufikisha milion 3.
Kwangu ilikua hela nyingi coz nilikua nasoma na hela ambazo nlikua nashika ni laki laki mwisho laki 5 balance ya akiba laki moja!!...lakini baadae nilipataga kazi kwaiyo kushika milion 3 ikawa cyo kazi but siyo akiba!! Unakuta hiyo milion tatu ndo ufanye kila kitu akiba au saving ndo laki 3 au 5.....
Najaribu kupambana nifike milioni 10 wap!!
Kila ikifika milioni 3 au 4 napata shida natumia. Sasa nilitaka tubadilishane experience na wanajf wenzangu ambao mmeshavuka huko au mna idea
Nb:hapa naongelea saving ,hela unayoisave baada ya kufanya mambo mengine
Je, wewe ulifikishaje milioni 10 yako ya mwanzo?
VICOBA = Village Commercial Bank...
Nakushauri bora pesa yako ukainvest sehemu au uingie partnership au ununulie ata shares kama una knowledge na hivyo vitu kuliko uko Kwenye VICOBA na masaccos,uko ujanja mwingi watu wanacheza na % tu..
Habari jf
Katka kupambana na maisha kuna malengo tunajiwekea Shida n changamoto ya kuyafikia. Mwanzo mwa mwaka 2016 nilijiwekea target kufikisha milion 3.
Kwangu ilikua hela nyingi coz nilikua nasoma na hela ambazo nlikua nashika ni laki laki mwisho laki 5 balance ya akiba laki moja!!...lakini baadae nilipataga kazi kwaiyo kushika milion 3 ikawa cyo kazi but siyo akiba!! Unakuta hiyo milion tatu ndo ufanye kila kitu akiba au saving ndo laki 3 au 5.....
Najaribu kupambana nifike milioni 10 wap!!
Kila ikifika milioni 3 au 4 napata shida natumia. Sasa nilitaka tubadilishane experience na wanajf wenzangu ambao mmeshavuka huko au mna idea
Nb:hapa naongelea saving ,hela unayoisave baada ya kufanya mambo mengine
Je, wewe ulifikishaje milioni 10 yako ya mwanzo?
Sio mbaya....mwisho wa mwaka unaenda kuangalia salio unakuta 7m unafarijika. Kiwanja nje ya mji unapata,kama una kiwanja unasimamisha boma kozi kadhaaSio mbaya eti hata kuwanja napata eti
Nimewahi sana na nikihisi tu ni cha wizi huwa nina team yangu ya manunuzi (sinunui mimi)Vipi mali za wizi , hukukutana nazo? Manake vyombo vya moto navyo majanga
We hata huelewi kinachojadiliwa hapa. Hivi mashabiki wa Yanga akili zenu huwa mnaziacha kwenye maduka ya GSM?Du hivi mnawezaje kusave hela mpaka ikafikia milioni 3 kwenye kibubu bila kuzila? Mtu anayesave hela basi najua hana cha kufanya!! Mie account yangu ina operate na elfu 2 au 3! Ikiingia hela ndani ya siku 3 ishakwisha yote hata mil 20 maana kuna kazi nyingi za matumizi ya hela...Hela wanaziweka watu ambao hawana majukumu hata kidogo yaani wale watu wanaotafuta fedha ya kunua sandozi ,kito,pafyumu,supra,mawani etc hao ndio wanaweza kusave fedha.
Ukiona mtu anasave hadi inafika kiasi hicho bila kuzila ina maana anazo za kuzila hio ni ziada. Vile vile sio kwamba Hana cha kufanyia, za kufanyia shughuli nyingine zipo zinafanya vitu hizo zinazowekwa ni ziada.Du hivi mnawezaje kusave hela mpaka ikafikia milioni 3 kwenye kibubu bila kuzila? Mtu anayesave hela basi najua hana cha kufanya!! Mie account yangu ina operate na elfu 2 au 3! Ikiingia hela ndani ya siku 3 ishakwisha yote hata mil 20 maana kuna kazi nyingi za matumizi ya hela...Hela wanaziweka watu ambao hawana majukumu hata kidogo yaani wale watu wanaotafuta fedha ya kunua sandozi ,kito,pafyumu,supra,mawani etc hao ndio wanaweza kusave fedha.
We hata huelewi kinachojadiliwa hapa. Hivi mashabiki wa Yanga akili zenu huwa mnaziacha kwenye maduka ya GSM?
Duh mkuu kumbe ni mnunuaji mzoefu wa vitu vya wizi? Nilifikiri ungesema ukihisi au kujua ni cha wizi unaachana nacho!Nimewahi sana na nikihisi tu ni cha wizi huwa nina team yangu ya manunuzi (sinunui mimi)
nawatonya wanakuja,nawapa hela wananunua kisha wanasepa,muuzaji hatojua kama n mimi
nimenunua na team yangu ya manunuzi haikai mtaa niliopo hao wanakuja kwa case maalum tu
Aisee genge kuuza 800,000/- per day si mchezo!Ndiyo hivyo. Shida kubwa watu wengi wakienda shule kidogo anaona biashara za mtaani ni kama kushika uchafu. Kuna kijana mmoja mwalimu s/msingi wa kichaga alipanga chumba kwetu akaona fursa akafungua genge la mbogamboga hapo nje kalitengeneza kwa mabanzi tu ya kawaida. Saizi anauza laki 8 kwa siku. Tunataka kuanza kumtoza kodi lakini tunajishtukia kwa aibu, coz ni kasehemu ambacho wala hatukujua kuwa ni potential. Sasa mwambie graduate wa Mzumbe au Udsm afungue genge.
Kitu cha kuzifanyia ndiyo jambo linalokufanya usave. Nadhani umeshaelewaHahahaaaaa yaani nyie maBUKU 7 FC ndio hamjielewi ,Mtoa mada kashawahi kusave hadi milioni 3 kwenye KIBUBU ndio swali langu likaja inawezekana vipi mtu uweze kusave hadi milioni 3 kwani hakuna kitu za kuzifanyia?
[emoji28][emoji28][emoji28]Uhuuuu huwa tunadanga balaa ila Mimi sio mkopo ni savings zangu so Sina stress
Nina ki account cha $ kila mwezi naweka minimum $100. Ikifika mwisho wa mwaka nazitoa zote naamua tu vacation wapi. Sasa hapo wengine wakiona mwisho wa mwaka unasafiri huku na kule wanashangaa!Nilifungua account maalum ya savings ambayo sitoi
Nikaweka standing order ya kukata kiasi fulani kila mwezi kwny akaunti ya kawaida
Nikawa naishi kwa bajeti na napeleka any extra cash huko
Haikuchukua muda lengo lilifikiwa
Na bonus ishakua tabia...kuweka akiba