CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
KUNA kitu unaweza ukakitafuta mpaka kichwa kikauma,unatangaza dau refu watu wakutaftie ila wapi watu wanashndwa ghafla siku upo ofisini umekaa zako unaletewa kile kile kitu kilichokua kikikuumiza kchwa,kkt situation za namna hiyo Mungu atanisamehe tu.Duh mkuu kumbe ni mnunuaji mzoefu wa vitu vya wizi? Nilifikiri ungesema ukihisi au kujua ni cha wizi unaachana nacho!