Ulifikishaje Milioni 10 ya kwanza?

Duh mkuu kumbe ni mnunuaji mzoefu wa vitu vya wizi? Nilifikiri ungesema ukihisi au kujua ni cha wizi unaachana nacho!
KUNA kitu unaweza ukakitafuta mpaka kichwa kikauma,unatangaza dau refu watu wakutaftie ila wapi watu wanashndwa ghafla siku upo ofisini umekaa zako unaletewa kile kile kitu kilichokua kikikuumiza kchwa,kkt situation za namna hiyo Mungu atanisamehe tu.
 
Haya mkuu.
 
Nilifanya biashara moja hivi ya hatari nikapata mtonyo wa 8.M faster,then nikaurudia huo mchongo nikapata 6.M faster!!jumla nikawa na-tatol ya Tsh.14.M kwa account!!kipindi hicho nilikuwa sidaiwi popote pale Tz!!nikazama kwenye taasis fulani hivi nikakopa 18.M net!! So 18.M+14M= 32.M. Nikaagiza toyota hiace 2RZ toka Japan ambapo costs za kuagiza na usajili ilini-cost 25.M kwa kipindi hicho!!Chuma kipo road kinapiga route ya Mlowo-Tunduma per day naingiza 60,000/=!!take 60,000/=×30=1,800,000/=!!Serikalini nilishaacha kazi yao na chuma nakisimamia miimi mwenyewe!!Kwa hy kuna njia nyingi za kupata hiyo 10.M ingawa sio mchezo.
 
Nna lengo hilo mwaka huu 2021. Nishaanza kwa kufungua saving account, kila week nimeweka target ya amount nnayotakiwa kudeposit, maendeleo ni mazuri so far.
 
Huu ndo ujanja sasa bank unaweka 200,000 tu ya dharula ingine unazungusha mwenyewe maana bank wenyewe wanaitumia hela yako sasa ni bora uitumie mwenyewe as investment
 
Mkifika 1B mtu anitagi niweke neno pia
 
Savers are loosers
 
Mimi mil 10 yangu ya kwanza nilipata kwa mkopo pale Akiba commercial bank. By the time ilikuwa Net Salary times 12.

Nikanunua gari Toyota Mark II; zingine sijui ziliishaje...

Sasa mwenzetu umefanya kazi miaka 5 tu unataka uwe na Mil 10 pure saving...hongera sana, sisi hatukuweza bwa shee!!
 
Kama hutojali taratibu za kununua ili usije ingia kwenye mtego wa kununua Mali ya wizi hua una verify vipi au ni security gani hua wachukua just incase yakienda kombo urudi kuwakamata wahusika , nimeielewa sana hii , nataka zama humo , ila nimeona ni vyema kwanza nijue upande huu nisije jikuta segerea
 
Kuna muda nilifugua biashara Zanzibar nikamudu kutengeneza laki tatu consistently kwa zaidi ya mwezi mmoja nikatandika million 10 kirahisi tu kwa kibiashara ambacho hata yule mzungu alikidharau akanipa space ya bure ili mradi tu wateja wake wa enjoy.

Wazungu Ni watu saana basi tu.

Sikuamini!
 
We kaka mzito sana kuelewa. Hizi shule za kata zingefutwa tu jomoni

Hauwezi kunielewa kama una kichwa kizito,relax kwanza pitia post yangu ya kwanza kisha endelea ya pili na ya tatu utealewa tu! Ni kawaida watu wenye vichwa vizito kupata shida katika kuelewa mpaka warudie rudie sana ndio wanang'amua.

Enzi zetu tunasoma kulikuwa hakuna shule za kata bali SHULE ZENYE VIPAJI KIPEKEE KIAKILI.
 
Nilifanya biashara moja hivi ya hatari nikapata mtonyo wa 8.M faster,then nikaurudia huo mchongo nikapata 6.M faster!!jumla nikawa na-tatol ya Tsh.14.M kwa account!!kipindi hicho nilikuwa sidaiwi popote pale Tz!...
Maisha haya! Input yako ya ntaji mbona haiendani na output ya faida?

Mimi niliwekeza milion 1.9 na kila siku nikawa natengeneza net profit ya 300k kwa miezi kadhaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…