TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,894
- 8,454
Kwakua ulikua unashiriki jukwaa la pale sinza_mikumi wakakualika JFMMU,[emoji1787][emoji1787]Mimi nilipewa mwaliko humu wakushiriki jukwaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakua ulikua unashiriki jukwaa la pale sinza_mikumi wakakualika JFMMU,[emoji1787][emoji1787]Mimi nilipewa mwaliko humu wakushiriki jukwaa
Leo tumekutana tena humu sijui kama kuna usalama mpaka saa kumi alfajiri hahahaMimi nilipewa mwaliko humu wakushiriki jukwaa
Mitandao yote washaiondoa, ulikua unaingia bila bundle wao ndio wanalipia bundle lako kwa site maalamu tu, JF ikiwemoHii free basics naipataje mkuu
Mkuu mimi nilikuwapo Jamboforums, ilipopitia mgogoro ndiyo ikaibuka Jamiiforums nikawa grandfathered in.Haki Jf haiboi bana
kuna watu ukisoma post na comments zao unatamani tu kujua ilkuaje mmekutana JF
kwa heshima na taadhima naomba wakuu wafuatao watupe mkasa wao walifikaje fikaje JgF
Kiranga Da Vinci XV Smart911 CHIEF MKWAWA
Asante Rashmane mimi naomba nitaweka kisa kwa urefu panapo majaliwa[emoji1545][emoji1752][emoji1548]Habari za muda huu waungwana, wanachama na wapenzi wa Jamiiforum,
Ikiwa leo ni zaidi ya miaka 15 tangu kuanzishwa kwa Jamiiforums, mtandao huu umekuwa kwa kasi sana miongoni mwa Watanzania na wanajamii ya East Africa kwa kuwa Mtandao wa huru na wa haki.
Binafsi naweza sema ni Mtandao wangu pendwa kuliko yote, kwani imekuwa kama kilevi kila nikiwa na bando lazima nichungulie Jamiiforums kuna nini.
Licha ya Mtandao huu kuwa mkubwa hadi kufikia kuwa na watumiaji takribani 632,335 (kwa taarifa za saa 14:20 06/04/2023), bado sio maarufu miongoni mwa Watanzania wengi na hivyo kuwa kama Mtandao fulani wa kisiri ama usiokuwa na wafuatuliaji wengi (unaweza thibitisha hili kwa kuangalia watu wanaokuzunguka na ufahamu wao juu ya Jamiiforum).
Lakini pia miongoni mwetu tunao members waliokuwa bega kwa bega toka miaka ya 2008 na wamesimama na Jamiiforums kwa kipindi chote, huku kila mmoja anahistoria yake ya namna alivyoijua Jamiiforums na hadi kufikia kuwa member kindakindaki.
Uzi huu ni maalum kwaajili ya kuchangia ni kwa namna gani tulikutana na Jamiiforums na hadi sasa tunanufaika vipi, je tunajivunia?
Nianze na mimi Rashmane;
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2017 nikiwa na simu yangu ya kibatani, sina bando, nimeboeka nikaingia freebasics bana walau nipate kuijua dunia.
Wakati naperuzi huku na huku nikakutana kwa mara ya kwanza na JamiiForums na zaidi nilivutiwa na nyuzi za Jamii Intelligence na Educational Forums.
Mwaka 2018 nikafungua account hadi sasa tuko pamoja kuisapoti JF paka iwafikie Watanzania wote kwa ujumla, kwani huu ni Mtandao super hapa Tanzania.
Karibuni kwa maoni na mchango wenu.
Uliijuaje JamiiForums?[emoji441]
NB:
Kama kuna member unatamani kufahamu alifikaje JF waweza kumtag
Mshana Jr
duh salute kwako mkuuMkuu mimi nilikuwapo Jamboforums, ilipopitia mgogoro ndiyo ikaibuka Jamiiforums nikawa grandfathered in.
Niliijua Jamboforums kutokana na mtanange mmoja kati ya Field Marshall ES na Nyani Ngabu
Enzi za "kumkoma nyani giladi".
kama Bachelor ll anakuambiaidadi unayosema ya members 632335 sio idadi halisi
kwaiyo ipo waziMpaka sasa Nina I'D 34 ila nyingi zao sikumbuki password zake
Mimi piaMara nyingi nilikua niki browse kwa operamin kuuliza jambo nilikua naletewa na baadhi mambo yaliyo jadiliwa kupitia jamiiforum na ikawa na browse na hatimae nika join kwa app.
Ilikua kila nikisearch kitu Chrome lazima jamiiforum ilete majibu, ikiwa kwenye list ya makala zingine zilizojitokea ko kaz Kwangu kuchagua.
Nikawa naichagua Na ilinipa majibu sahihi na yenye ukweli mtupu. Hii ilidumu Kwa miaka kadhaa bila kujua kumbe Kuna hata MASWALA ya kua na account??
Sikumoja mwka Jana nipo stressed sana na jambo Fulani nakasech kitu google kama kawaida kikaitika kupitia JF nkasomaa wee mara nikajaribu kuuchunguza mtandao ndipo nkaona kumbe Kuna App kabisa, kumbe Kuna kua na ID ukawa member, ewaa hapohapo nikaingia na I'd ya MR. KENICE.