Weka pichaUsiombe Biashara ife au Kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana.hatari ogopaa
Jamaa unakonda ubaki kichwa tu, nimejiapiza hata home likitokea tatizo siwezi kwenda kwa muonekano huu,
Kama umewai kupita nyakati kama hizi share hapa na wadau siku yako ilivyokua inapita kwa kuungaunga.
Ndio kipimo cha akili.Usiombe Biashara ife au Kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana.hatari ogopaa
Jamaa unakonda ubaki kichwa tu, nimejiapiza hata home likitokea tatizo siwezi kwenda kwa muonekano huu,
Kama umewai kupita nyakati kama hizi share hapa na wadau siku yako ilivyokua inapita kwa kuungaunga.
Pole sana mkuu, usikate tamaa hayo magumu yatapita tu.Usiombe Biashara ife au Kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana.hatari ogopaa
Jamaa unakonda ubaki kichwa tu, nimejiapiza hata home likitokea tatizo siwezi kwenda kwa muonekano huu,
Kama umewai kupita nyakati kama hizi share hapa na wadau siku yako ilivyokua inapita kwa kuungaunga.
Ila mamaza wana roho nzuri sana aisee. Ata isiwe kwa mtoto wake ila mwanamke mwenye mtoto uwa anakua na huruma kwa mtoto yoyote (naamini hivyo)....mzazi anakusikitikia tena wa mama ndio kabisa unamuona tuu anauzunika,...
Halafu unaambiwa unaumwa kisukari, ndugu wakiona simu yako wanajua umejiunga na kikosi cha mizinga.Usiombe Biashara ife au Kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana, hatari ogopaa
Jamaa unakonda ubaki kichwa tu, nimejiapiza hata home likitokea tatizo siwezi kwenda kwa muonekano huu,
Kama umewahi kupita nyakati kama hizi share hapa na wadau siku yako ilivyokua inapita kwa kuungaunga.
Imagine hapo uko peke yako! Vipi ungekuwa na watoto + mke! Na wote wanakutegemea wewe!!! Hapo lazima maji ungeyaita mma!Usiombe Biashara ife au Kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana, hatari ogopaa
Jamaa unakonda ubaki kichwa tu, nimejiapiza hata home likitokea tatizo siwezi kwenda kwa muonekano huu,
Kama umewahi kupita nyakati kama hizi share hapa na wadau siku yako ilivyokua inapita kwa kuungaunga.
Ina maana usingekuwa na hiyo kazi ungekuwa unaishi kama mkimbizi kabisa!Mimi niko na ajira ila maisha yangu full soltepu.
Kuanzia kula, kuvaa, bili za kodi umeme maji.
Maisha magumu kinoma na hapa niko permanent and pensionable.
Hapana, nisingeishi kama mkimbizi.Ina maana usingekuwa na hiyo kazi ungekuwa unaishi kama mkimbizi kabisa!
Hatari mwanawane mpaka unaongea mwenyewe, acha kabisa jobless kona noma sana.Ila mamaza wana roho nzuri sana aisee. Ata isiwe kwa mtoto wake ila mwanamke mwenye mtoto uwa anakua na huruma kwa mtoto yoyote (naamini hivyo).
Kuna siku nimetoka Posta, nipo Mwendokasi. Kuna mchongo nilifukuzia afu ukafeli vibaya sana. Yaan sikua na maisha.
Nipo kwenye Mwendokasi haina watu wengi kwasababu ilikua mchana, nikawa naongea kumbe mwenyewe hafu sijui. Napiga hesabu hivi na vile kugeuka pembeni kuna mama ananiangalia kwa huruma. Nikazuga naimba. Akaniambia hujambo mwanangu, dah. Simjui kabisa ila ile ujambo imetoka moyoni. Nikamjibu sijambo shikamoo. Tukapiga story 2 3 nikashuka Ubungo.
Inaonekana aliona kijana mafaili yamecorrupt akasema anichangamshe kidogo na ilisaidia. Au usikute ana kijana umri tunaendana akasema labda na mwanangu anapitia kipindi kigumu hivi.
Wabarikiwe sana wazazi.