Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mapato yapi hayo?Serikali ya CCM ianze kulipa wasomi wasio na kazi angalau mlo wa siku
Mwanawane usichomoke hapo, tena kaa tuliiiii. Huku mtaani ni noma mazeee, mambo ya kuanza kujibu maswali ya interview sio kabisa.Mimi niko na ajira ila maisha yangu full soltepu.
Kuanzia kula, kuvaa, bili za kodi umeme maji.
Maisha magumu kinoma na hapa niko permanent and pensionable.
Tunategemea kuvuna mapato mengi sana ya bandari kuptia DP World, yatumike hayo kulipa jobless wasio wa hiyari pamoja wazee vikongwe omba omba mitaani. Inasikitisha sana kuona wazee wa miaka 60 wanazurura kuomba mia mbili.Kwa mapato yapi hayo?
Nimeshabwagwa mkuu mwezi wa pili huu sijapata radha ya mbususu, ni matesoBwana bwana usiombee kupitia hii hali. (wouldnt wish it even for my worst enemy) jobless corner isikie tuu kwa wenzio maana ikupate mbona utajua maisha yakoje. tena ombea ikukute wakati huna mchuchu, kama una mchuchu aisee nakwambia ndio utakapo tambua kuwa woman = devil reincarnated. mie nilibwagwa na kuambiwa sina mbele wala nyuma kama mche wa sabuni!!!! mzazi anakusikitikia tena wa mama ndio kabisa unamuona tuu anauzunika, acha kabisa maumivu yake ni balaaa.
All in all mwanawane wewe pambana tuu ndio mapito ya maisha always bliv good is going to happen na muhimu sana angalia sana wale watakao kuwa nae katika wakati huu maana siku neema ikishuka hao ndio wakula nao.
Usiombe Biashara ife au Kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana, hatari ogopaa
Jamaa unakonda ubaki kichwa tu, nimejiapiza hata home likitokea tatizo siwezi kwenda kwa muonekano huu,
Kama umewahi kupita nyakati kama hizi share hapa na wadau siku yako ilivyokua inapita kwa kuungaunga.
mwanawane usichomoke hapo, tena kaa tuliiiii. huku mtaani ni noma mazeee. mambo ya kuanza kujibu maswali ya interview sio kabisa. tulizana hapo hicho kidogo wapata chatosha as long as its legally earned.Mimi niko na ajira ila maisha yangu full soltepu.
Kuanzia kula, kuvaa, bili za kodi umeme maji.
Maisha magumu kinoma na hapa niko permanent and pensionable.
ah mwanawane hilo litegemee tuu hapo mzee utajua kila aina ya punyeto 😀😀😀😀😀😀Nimeshabwagwa mkuu mwezi wa pili huu sijapata radha ya mbususu, ni mateso
Miezi miwili tu?Usiombe Biashara ife au Kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana, hatari ogopaa
Jamaa unakonda ubaki kichwa tu, nimejiapiza hata home likitokea tatizo siwezi kwenda kwa muonekano huu,
Kama umewahi kupita nyakati kama hizi share hapa na wadau siku yako ilivyokua inapita kwa kuungaunga.
Unasanifu wenzio sio?Mimi niko na ajira ila maisha yangu full soltepu.
Kuanzia kula, kuvaa, bili za kodi umeme maji.
Maisha magumu kinoma na hapa niko permanent and pensionable.
Sijawahi kuiamini kamari mpk kesho. Njaa haina baunsaBack in days
Hapo nimerudi chuo kwenda kufanya Supplimentary, nilikuwa na kama 500k mfukoni. Nimefika nikapambana nikapata pakulala,, doh , shetani la kamari likanipitia maana nilikuwa Mraibu wa kubet miaka hiyo,, nikaplace bet ya 100k,, inplay, ikaliwa.
Hasira ya kukimbiza hasara nikaweka 250k ikaliwa tena,
Hasira zikapanda huku najipa moyo ntairudisha labda , nikafanikiwa kula jumla nikawa na 130k kwenye Account ya bet.,, Shetani likanimbia weka yote upate zaidi, bwana bwana nikaweka Holaa,, nikaliwaa.
Hasira zikazidi kuwa kali Zaidi nikamalizia kudeposite tena 136k, nikala ikafika 200k,, nikaanza kupata amani kwa mbali. Oooh mchezo ule usivyokuwa na baraka na ulivyolaaniwa ikaliwa yoote.
Bare in your mind hapo mfukoni imebaki kama 14,000/= na Sup ratiba imekaa vibaya natakiwa nisubir mpk wiki ya tatu.
Nilianza kushindia muhogo mmoja kwa siku, na hapo ndio niliona picha halisi ya njaa,, nikagundua pia ukiwa na Njaa haulali.
wiki ya mwisho nilikaa siku 2 nakumbuka bila kula nakunywa maji na karanga tu.
Nauli ya kurudi nyumbani nilikuwa sina ikabid nikawaombe wale matrafic wa Pale Nane nane Dodoma waniombee lift alooh.
VIJANA KAMARI NI UMASIKINI.
Nilikuwa nikubahatisha kula usiku,natamani asubuhi isifike niwe na shida hiyohiyo!Maisha haya we acha tuuUsiombe Biashara ife au Kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana, hatari ogopaa
Jamaa unakonda ubaki kichwa tu, nimejiapiza hata home likitokea tatizo siwezi kwenda kwa muonekano huu,
Kama umewahi kupita nyakati kama hizi share hapa na wadau siku yako ilivyokua inapita kwa kuungaunga.