Hapo zamani kidogo nilienda kuchaji betri ya gari, kesho yake narudi nalo sikutaka msaada wa fundi, nikaingia youtube nicheki wazungu wanafanyeje ku connect, Mambo ya DIY Do it yourself, kujifanyia mwenyewe nikiwa najipa moyo hakatwi mtu hapa, siwezi kutoa pesa kirahisi wakati nina bando na videos zipo kibao
Nikaconnect battery ghafla nikaona moshi unatoka kama vitu vimechoma, fasta nika toa nyaya
Naenda kuwasha gari linawaka lakini mifumo yote ya umeme kwisha habari yake.
Narudi youtube ndio nagundua nyaya zangu zilikuwa tofauti kwenye terminals na kenye video.
Niliingia gharama zaidi ya laki 1 kusolve tatizo ambalo ningeliepuka kwa kumwita fundi wa jirani kabisa kwa elf 2 na angenipa elimu ya bure.