Ina maana kuna uwezekano ulizaliwa unajua kupiga mbinja!Mi nilishanga nawapigia mbuzi wakati wa kuchunga ila sikumbuki lini haswa nilijua kupiga.
Minja mkuu.Hivi ni winja au mbinja?
Asante MkuuMinja mkuu.
Kazingua huyo inaitwa mbinjaAsante Mkuu
Minja mkuu.
Dhaaaaa!!! Watu tunatokaMi nkikupigia ule wa kutia vidole mdomoni ni noma..kipindi hicho naenda kuwinda na mbwa.
Zamani kupiga mruzi au ile sauti ya "Psiiiii" ilitumia kumuita demu "binti" ni ishara ya kua unamuita ili umtongoze,Duuuh...! Jf bwana, huwezi kuishiwa Story humu...
Watoto wa Mama wengi hawajui kupiga Minja...!
Hivi ni kwa nini..?
Na baadhi ya wazazi huchukulia huku (kupiga Mluzi) kama ni tendo la ukosefu wa Maadili (uhuni)
Anae fahamu siri juu ya kitu/tendo hili, naomba ATIRIRIKE..
Uone au usikie?Pigeni tuone
Haha mimi mwenyewe nilikuwa nashangaa ila ikabidi tu nimkubalie nikijua kila sehemu wana jina tofautiKazingua huyo inaitwa mbinja