Ulijifunza lini kupiga mruzi ( winja)? Mi nimeshanga najua tu kupiga

Ulijifunza lini kupiga mruzi ( winja)? Mi nimeshanga najua tu kupiga

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Mi nilishanga nawapigia mbuzi wakati wa kuchunga ila sikumbuki lini haswa nilijua kupiga.
 
Mbuzi wa babu wamenifunza kupiga mbinja maana ndani ya dakika wamefika shamba la mahindi
 
Duuuh...! Jf bwana, huwezi kuishiwa Story humu...

Watoto wa Mama wengi hawajui kupiga Minja...!

Hivi ni kwa nini..?
Na baadhi ya wazazi huchukulia huku (kupiga Mluzi) kama ni tendo la ukosefu wa Maadili (uhuni)

Anae fahamu siri juu ya kitu/tendo hili, naomba ATIRIRIKE..
 
Aiseee!!! Me mpaka leo
Cjajua yan af cha ajabu
Washkaj wang wa mtaan
Nliokua nao wote wanajua
 
Duuuh...! Jf bwana, huwezi kuishiwa Story humu...

Watoto wa Mama wengi hawajui kupiga Minja...!

Hivi ni kwa nini..?
Na baadhi ya wazazi huchukulia huku (kupiga Mluzi) kama ni tendo la ukosefu wa Maadili (uhuni)

Anae fahamu siri juu ya kitu/tendo hili, naomba ATIRIRIKE..
Zamani kupiga mruzi au ile sauti ya "Psiiiii" ilitumia kumuita demu "binti" ni ishara ya kua unamuita ili umtongoze,

Yaani ilikua ukimpigia binti "Psiiiii" anageuka kukutukana "Shenzi wewe huna adabu" coz ni dalili ya kumtongoza ukizingatia zamani maadili bado yalikuwepo kulinganisha na zama hizi,

Hii ni moja ya sababu ya mruzi kuonekana ni uhuni,anayejua sababu zingine ataongezea.
 
Back
Top Bottom