Ulijisikiaje siku ya kwanza umehamia kwenye nyumba yako?

Nilijisikia Kichina China!

20240522_170637.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
.......bado nimepanga tena room moja mnasema 'stoo' ila nafikiri ni furaha kubwa sana nikifikiria msoto wa kitaa ambapo pesa ya kula na kuvaa tu ni changamoto, hongera sana mkuu, kibongobongo kumiliki nyumba ni mafanikio makubwa sana ktk maisha, inakupa utulivu wa akili kufanya makubwa zaidi.......
 
Unaanza unalala master bedroom, unaamka saa 6 unahamia kids room unalala kidogo, then saa 7 unakuwa umelala guest room, saa 8 unakuwa dinning umelala juu ya meza, ikifika saa 9 upo kwakochi seating room umejikunja, saa 11 unastuka upo stoo halafu pakikucha unaamkia jikoni unaendelea na breakfast.
 
Aisee!
 
Back
Top Bottom