Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmh basi we mzoefu
usisononeke mkuuPongezi kwenu wote mliofanikiwa kujenga na mnaopambana kujenga,kwa itakaye mpendeza naomba kupata Picha ya Chumba kimoja,sebule na jiko ili na mimi nijipange.asante
Pole sana mkuuWaliingia wezi/ vibaka, kupitia dirisha la sebuleni. Fortunately wakashindwa kuitoa TV, Panasonic ya zamani ina kitako kipana na hakichomoki.... Kwenye kabati la koridoni wakapata pasi na kwenye showrack (koridoni) wakachukua raba zangu pea 2 zilikuwa mpya.
Ile hali ya kuwasikia watu wako ndani kwangu sebuleni wakikorokochoa korokochoa wakati mi nipo chumbani nawasikia... nilipata trauma karibia mwezi mzima nashindwa kulala vizuri.
Badala ya kufurahi ikawa struggle, nikajifunza na kufuga mbwa waliruka fence, ni fupi kiasi just uzio tu na haikuwa imeisha. Baadae nilikuja kupata clue kuwa ni vijana waangalizi wa ujenzi nyumba ya mbele yangu. Na hawajawahi kuja tena.
Asante brother, nishapoa.Pole sana mkuu
DaaahUnaanza unalala master bedroom, unaamka saa 6 unahamia kids room unalala kidogo, then saa 7 unakuwa umelala guest room, saa 8 unakuwa dinning umelala juu ya meza, ikifika saa 9 upo kwakochi seating room umejikunja, saa 11 unastuka upo stoo halafu pakikucha unaamkia jikoni unaendelea na breakfast.
haahaa umenichekesha sana mkuuMe nilikuwa natoka nje ya gate, then najifanya mgeni naingia kama napiga hodi, huku na admire the view!!!
Hahaaa
Uwiii nimecheka hadi machozi.Me nilikuwa natoka nje ya gate, then najifanya mgeni naingia kama napiga hodi, huku na admire the view!!!
Hahaaa
[emoji38]Uwiii nimecheka hadi machozi.
Hatari Sanahaahaa umenichekesha sana mkuu
Uwiii nimecheka hadi machozi.
ama la basi njia ilishatengenezwa na watangulizimmh basi we mzoefu
trueKupanga kunakera sana basi uwezo unabana sometimes