Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
- Thread starter
- #21
[emoji1787]Heeeh! Kumbe mna mageto....Mimi narudi home kwenye ugali wa shkamoo mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787]Heeeh! Kumbe mna mageto....Mimi narudi home kwenye ugali wa shkamoo mama
Wewe nyumba ya nini,si ungesubiri mume aje ajenge. Utakosa mume wewe shauri yakoSijui nisemeje ila ni zaidi ya FURAHA 🥰🥰
Pole sana jirani, mbona haukunipigia sim..🤔Waliingia wezi/ vibaka, kupitia dirisha la sebuleni. Fortunately wakashindwa kuitoa TV, Panasonic ya zamani ina kitako kipana na hakichomoki.... Kwenye kabati la koridoni wakapata pasi na kwenye showrack (koridoni) wakachukua raba zangu pea 2 zilikuwa mpya.
Ile hali ya kuwasikia watu wako ndani kwangu sebuleni wakikorokochoa korokochoa wakati mi nipo chumbani nawasikia... nilipata trauma karibia mwezi mzima nashindwa kulala vizuri.
Badala ya kufurahi ikawa struggle, nikajifunza na kufuga mbwa waliruka fence, ni fupi kiasi just uzio tu na haikuwa imeisha. Baadae nilikuja kupata clue kuwa ni vijana waangalizi wa ujenzi nyumba ya mbele yangu. Na hawajawahi kuja tena.
Jirani hukuwepo, ulienda kahama 😅Pole sana jirani, mbona haukunipigia sim..🤔
Atajenga nyumba ambayo sitoipenda 😂😂Wewe nyumba ya nini,si ungesubiri mume aje ajenge. Utakosa mume wewe shauri yako
Kabisa mkuu unahisi km ulale kila chumba kwa siku moja[emoji1787][emoji1787]Sijui nisemeje ila ni zaidi ya FURAHA [emoji3059][emoji3059]
Naomba nikuoe Lamony.Atajenga nyumba ambayo sitoipenda 😂😂
Halafu mimi ninakoelekea najioa, bado sijaona wa kunioa kaka.!! Au nisubiri waumbwe wengine, ila hawa wamatumbi nei nei
Acha ushamba na kuendekeza umaskini. Huku watu wana nyumba zaidi ya mojaKuna feelings flani hivi ameiziiing
Eti wakuu?
Atafute Pesa. 😃Acha ushamba na kuendekeza umaskini. Huku watu wana nyumba zaidi ya moja
Nimelala nyumba nzima nimemaliza mpk banda la mbwa 🤣🤣🤣kabisa mkuu unahisi km ulale kila chumba kwa siku moja[emoji1787][emoji1787]
Halafu unipeleke wapi? 🤣Naomba nikuoe Lamony.
mbless jamaa anataka kitonga[emoji38]Halafu unipeleke wapi? [emoji1787]
Mimi sio shishi 😂mbless jamaa anataka kitonga[emoji38]
haahaa haya bana usikaze sana basi mkuuMimi sio shishi [emoji23]