Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
katumeni mbamizwa kwann frampeni 😂😂Kila nikijiangalia hili komwe langu najiona kabisa mimi ni AGE GO.
Komwe linang'aa kama frampeni la sambusa. Eeh Mungu baba nihurumie mja wako.
Bila hata kuambiwa na yeyote mimi najijua kabisa nina miaka hamsini na saba.
Cc: Lamomy
Ina maana muda wote ulikuwa hujui kama wewe ni zamadamu aka mtu wa kuchora? Haiwezekani!Kila nikijiangalia hili komwe langu najiona kabisa mimi ni AGE GO.
Komwe linang'aa kama frampeni la sambusa. Eeh Mungu baba nihurumie mja wako.
Bila hata kuambiwa na yeyote mimi najijua kabisa nina miaka hamsini na saba.
Cc: Lamomy
Hiyo ni tamthilia, tunazungumzia historiaKila kilicho andikwa kwenye penzi kitovu cha uzembe ni kweli kabisa kwa sababu hauna uhakika wa hata mwaka wako wa kuzaliwa
Biblia ina contradictions nyingi sana. Contradictions zinazoonesha ni kitabu cha kutungwa na watu na kuungwaungwa tu.Wakuu,
Katika maisha kuna mambo ambayo huna budi kuyaamini tu, hata kama umehadithiwa na hukuyashuhudia mwenyewe. Kwa mfano, mtu akikuuliza:
“Ulijuaje kama mwaka wako wa kuzaliwa ni sahihi?”
Ukweli ni kwamba, wengi wetu hatujawahi kushuhudia siku tulipozaliwa; tunachokijua ni kile tulichosimuliwa na wazazi wetu, ndugu, au vitambulisho tulivyopatiwa. Tunaamini bila shaka yoyote, japo hatuna ushahidi wa moja kwa moja.
Ukitafakari kwa undani, utagundua kwamba karibu mambo yote tunayoyajua hapa duniani tunayasikia kwa kusimuliwa au kufundishwa. Hata yale tunayofundishwa darasani, ikiwemo sayansi, ni hadithi na maarifa tunayopokea kupitia vitabu na walimu wetu, halafu tunaamua kuyaamini.
Huwezi kuelewa wala kuendelea na masomo kama vile kemia bila kuwa na imani na kile unachofundishwa. Lazima ukubali na kuamini maelezo ya walimu na vitabu, hata kama hujawahi kushuhudia mwenyewe majaribio au matokeo yake.
Vivyo hivyo, Biblia imeandika mambo mengi ambayo kwa mtazamo wa haraka yanaonekana kama simulizi tu. Lakini nakwambia, kila kilichoandikwa katika Biblia ni kweli na hakika. Hakuna uwongo ndani yake; yote ni ukweli mtupu, hata kama hatujashuhudia wenyewe.
Mwaka wako wa kuzaliwa hauna contradictions?Biblia ina contradictions nyingi sana. Contradictions zinazoonesha ni kitabu cha kutungwa na watu na kuungwaungwa tu.
Nikikuwekea hapa huwezi kumaliza kuzipangua.
That is a logical non sequitur fallacy.Mwaka wako wa kuzaliwa hauna contradictions?
Si kila hoja inayosikika kwa masikio ni lazima iambatane moja kwa moja na njia za mantiki za kibinadamu. Katika njia za maarifa, yapo mambo ambayo hufumbuliwa kwa akili, na yapo yale ambayo hupokelewa kwa imani na moyo wa unyenyekevu. Ni kweli, akili hututaka tufuate mantiki isiyopindika; lakini je, uhalisia wa maisha haya unaishia tu kwenye mantiki? Maana, hata uwepo wetu na asili ya uhai wenyewe, mengi tunayakubali kwa ushuhuda na simulizi ya waliotutangulia, si kwa kuona wala kwa kuhakiki kwa akili zetu wenyewe.That is a logical non sequitur fallacy.
Imani ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu.Si kila hoja inayosikika kwa masikio ni lazima iambatane moja kwa moja na njia za mantiki za kibinadamu. Katika njia za maarifa, yapo mambo ambayo hufumbuliwa kwa akili, na yapo yale ambayo hupokelewa kwa imani na moyo wa unyenyekevu. Ni kweli, akili hututaka tufuate mantiki isiyopindika; lakini je, uhalisia wa maisha haya unaishia tu kwenye mantiki? Maana, hata uwepo wetu na asili ya uhai wenyewe, mengi tunayakubali kwa ushuhuda na simulizi ya waliotutangulia, si kwa kuona wala kwa kuhakiki kwa akili zetu wenyewe.