Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mamaee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kcheche, kesi flani ilifika hadi kwa headmaster akaniuliza kati ya huyu na huyu nani mpenzi wako, nikashtukia huo mtego nikawakana wote wawili, muda wa kutoka nasikia watu wanapigana tena nje huko, nikadandia daladala huyoo nikayeya
Kwa kweli hadi wengine tulikuwa tunawasahau kama wapo shule maana hata kula muda mwingine hawapoHahhahaha!!
Unafanya scanning, unatafuta tu point ya muhimu..Hayo maelezo ya blah blah unaweka kapuni...
Unaizimia moto mpaka NECTA..Ratiba ya NECTA ikishabandikwa huonekani DH wala class. 😀 😀 😀
😀 😀 😀 😀Kwa kweli hadi wengine tulikuwa tunawasahau kama wapo shule maana hata kula muda mwingine hawapo
Aisee! Niliwahi kimbizana na mwl.kisa naogopa bakora, mwl.aliambulia kula mweleka..akaahirisha zoezi.Nilikua mwoga wa fimbo balaa nakumbuka kuna siku tuliiiba fimbo zote tukazichome... Tukafikiria kukata miti yote iliyo karibu na shule tukaahirisha hahaa daah [emoji124]
...acha fiksi!Hahahahaa. Yani mimi sikuwahi kuwa na muonekano wa kuwa kipanga darasani. Kwanza napenda kucheza na kusoma magazeti ya udaku. Sionekani nikiwa busy na kitabu darasani. Ila ndo niliwashikia number kuanzia primary mpaka o level.
hahahaha...me nilkua nikiona mwanafunz ana chapwa kabla haijafka zamu yngu tayar machoz ila ilifika tym nikazoea nikawa napenda xna fimboNilikua mwoga wa fimbo balaa nakumbuka kuna siku tuliiiba fimbo zote tukazichome... Tukafikiria kukata miti yote iliyo karibu na shule tukaahirisha hahaa daah [emoji124]
hahaha ilikua hatare me nilikua na shinda makaburin tuSikuwahi kukaa assemble, sikuwahi kukaa shule siku nzima tangu niko form one naingia sa mbili na nusu naondoka na shabiby ya sa sita (ndivyo tulivyokua tunaita) Seat yetu ya backbencher ilikua ni kama ukanda wa gaza au taleban
sa hiv najishangaa tu ule ujasiri sijui tulitoa wapihahaha ilikua hatare me nilikua na shinda makaburin tu
Hayakatizi hasa Yale y shigongo na stories zake za kufikirika[emoji3] [emoji3]yalikua hayakupiti yale ma magazine
Hahahha!Hayakatizi hasa Yale y shigongo na stories zake za kufikirika[emoji3] [emoji3]
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app